kawboi aliye mtupu akitumbuiza fasi ya brodiwei hapa tofaa kubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Karibu "Big Apple" kaka.Ndesanjo anamjua sana huyu cowboy mtupu.Nasikia amekuwa akifanya kazi hii kwa takribani miongo mitatu sasa.

    ReplyDelete
  2. Uwongo mbaya, lakini ukitaka kutengeneza senti hapa USA, cheza ngoma ya kwenu na uweke kikopo pembeni. Utatoka huko na senti. Kuna waBongo fulani wamefanya hivyo sehemu mbalimbali hapa USA na kupata extra 'tax free' income!

    ReplyDelete
  3. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...