supa modo mbongo aliye newala miriam chemmoss akiwa na nanihii wake; unaruhusiwa kusoma habari zake hapa http://www.myspace.com/miriamchemmoss

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi eeh....hebu acha uongo bwana. Huyu Critic aka Nathan alikuhonga nini? Tangu lini akawa na demu.....?

    ReplyDelete
  2. Wewe Anony get your facts straight. Umeng'ang'ania kila forum, kuanzia bcstimes mpaka YA kwamba 'Critic' wa YA ndio Nathan. Mimi nawajua wote hao wawili na Nathan siyo Critic hata kidogo!

    Actually, picha ya huyo Critic ilibandikwa humu ndani siku chache zilizopita lakini sasa imetolewa.

    ReplyDelete
  3. Very good dada yangu endelea. first impression kwangu inaonekana unajua unachokifanya. Safi sana. Ongeza bidii.

    ReplyDelete
  4. huyo modo mbona anaonekana kama ziwa moja refu lingine fupi?

    ReplyDelete
  5. Huyo Mzee Mbegu wa YA akiwa na Miriam (she's actually Kenyan by the way, her dad is Kenyan, mama ndio mbongo)

    Halafu wala siyo nanihii wake Michuzi uekoleza chumvi hapo...

    ReplyDelete
  6. Asante kwa picha. Huyo Miriam anajitahitadi sana na muziki wake. Best Wishes.

    ReplyDelete
  7. huyu mkenya anahangakak tu.... ametombwa sana DC na ana mpango wowote wala sio modo ..modo gani 5"3"...nyimbo zake nazo mbaya anahangaiak tu huyu malaya ..

    ReplyDelete
  8. Wewe anany wa hapo fuatilia maisha yako, acha wivu na maisha ya wengine! Unapakaza mambo yasiyokuwapo. Miriam ni msichana anayejiheshimu sana, huwezi kumfananisha na modo wenu Cynthia...Haikunyimi kitu kusifia; jamani tuache chuki zisizokuwa na msingi.

    Miriam anavutia, ni msomi na talent anayo. Ndio maana amefanya kazi na kampuni kubwa kama Levi jeans. Vile vile ni actor katika theatre shows (alikuwapo kwenye "Lion King"), ni dancer na ni muimbaji pia. Ameshapata kuimba na Lokassa ya Mbongo, Shiko Mawatu na Ngouma Lokito wa Soukouss Stars kule Newala na NJ. Anakamilisha cd yake akisaidiwa na producer wa zamani wa Def Jam pale Newala. Sikilizeni clip za nyimbo zake kwenye site yake hapo juu. Pia kuna picha zake zaidi kule. Amani.

    ReplyDelete
  9. Wee Anon 6:44PM unamwambia mwenzio afuatiliye maisha yake na wewe unafanya nini mbona unafuatiliya maisha ya wenzio pia. Kwa kummaliza Cynthia.Kwani umesikia Cynthia hana Talent?acha hizo noma.Wewe unayemtetea Miriam unaweza ukawa ndiyo jamaa aliyepiga picha na huyu Miriam.

    ReplyDelete
  10. Hey, this Miriam Chemoos ain't shit!! Looks like nowadays Bongo Flava artist has become a euphemism for "loser". Every talentless conceited hayawani in Bongo and Ughaibuni wants a shot in the studio booth to croak about yet another vulgar and meaningless "mapenzi" song thinking they are the next Mbaraka Mwinshehe or Marijani Rajabu.

    ReplyDelete
  11. Kwanini wabongo hatuwezi kuwa-encourage wenzetu wakijitahidi kufanya kitu cha maana? Kila ukiangalia, nikubondana, kusemana.....wivu na fitina....kuwacheka wenzetu....ooh...sio mzuri..hana talent....nyimbo mbaya....ni malaya....? Why the hate?
    That is really sad, that, even a picture like this can generate such negative comments from people ambao wako miserable na maisha yao. Mseme, msiseme, huyu dada anajiendeleleza...na anahitaji support yetu. Tutajifunza lini?

    ReplyDelete
  12. Well the thing is, we DO know REAL talent when we see and hear one. Any half assed attempt at fame and fortune simply because one thinks they are gifted with "above average good looks" will be met with equally high measures of scepticism (if not derision).

    ReplyDelete
  13. We anony mbaya chale zinanicheza kuwa you are from the Njabu Ngabu clan!!!

    ReplyDelete
  14. And just who, pray tell, is "Njabu Ngabu clan"? And what's moe: do you mind eduacting us what all this "Njabu Ngabu" whatever has to do with the particular issue at stake?

    ReplyDelete
  15. Anonymous 10:27pm, you better keep my family name out of your mouth or else risk turning this whole blog upside down, ya heard?? You don't wanna mess with any of the Ngabu Niggas. I bet since you mentioned them, you already know what they are about.

    Floribet Nyani Ngabu

    ReplyDelete
  16. SHHHHHH,
    ANGALIENI MIDOMO YENU JAMANI, HIVI HAMUELEWI KUWA MATUSI HAYARUHUSIWI!!!!NFAIKIRI BWANA MICHUZI ITABIDI WATU WAJIANDIKISHE KABLA YA KUTOA MAWAZO KWANYE HII BLOG-

    ReplyDelete
  17. Easy Ngabu, that was just a compliment. I like your english, though I am not sure if I like you. It is disheartening reading postings from Covert, pEACE and a bunch of other fellas. One cannot tell whether they are writing in English or Kiswahili.

    ReplyDelete
  18. Mike Tyson had a Tanzanian/Kenyan girl friend

    ReplyDelete
  19. I LOVE THIS JOINT..

    ReplyDelete
  20. Why would anyone in their proper mind frame like a badass motor-mouth Ngabu nigga?

    Like 50 cent said; nobody likes me but that's OK 'cause I don't like y'all anyway. You Nyani should be able to know that-

    Floribert Njabu Ngabu

    ReplyDelete
  21. Hahahahahaha.....Sr. what it do, what it does, what da bizness is?? It's good to see Supper Nigga Njabu Ngabu back in this joint called the world wide web!

    A Ngabu Nigga like me ain't gonna lose sleep over someone not liking me. I know lotsa people love to hate me, but that it's okay coz I don't need none of y'all to like me anyway and I don't like y'all neither.

    Floribert Nyani Ngabu

    ReplyDelete
  22. Hahaahaa! You already know son!! Word on the street Ngabus know how to handle theirs!! We are about to take over this Michuzi blog bizniss!

    ReplyDelete
  23. That's what's up Sr. The Ngabusters know how to handle their biz and Michuzi better take heed of the fact that we are a force to be reckoned with......or else....

    ReplyDelete
  24. Hey, son Nyani, heard about what happened in Detroit this weekend? Two ambitious, energetic, deep-in-love Wabongo young-ass folks shot to death just like that??

    Truly sad shit mayn! I saw them pictures on TANZATL.ORG and became so mad and depressed that I almost threw the darn 17" MacBook Pro outta the window!! What's going on?? Who the hell did the shit, huh!!

    ReplyDelete
  25. Grown women/men don't need a page on Myspace! Myspace page is for kids! If you are in high school it's cool to have a page on Myspace! If not please have personal website.

    ReplyDelete
  26. Wewe anony wa juu acha ushamba. Nani kasema myspace is only for kids? Hata makampuni kama JP Morgan Chase sasa hivi yana-hire wafanyakazi kupitia myspace, wewe kalagabao tu. Kuna artists na vendors kibao wanaotumia social networks kujitangaza. Get with the program.

    ReplyDelete
  27. wewe anony # 1 na Ngabu guy mbona umemu-attack sana huyo jamaa "critic", una personal issue naye nini??

    ReplyDelete
  28. Kuna anony moja hapa mwanzoni mwanzoni tu katoa komenti kuwa huyu modo mbona kama titi moja liko juu na lingine liko chini, nimeichunguza hii picha na ni kweli kabisa sasa ni modo gani bwana fanya maarifa ili upate matiti kama ya kina viktoria bekam au beyonce na kadhalika. Au hapa mjini unaweza kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa matiti Peter Rupia atakueleza ni nchi gani ina utaalamu huu kwani alimlipia girlfriend wake Irene baada ya cancer operation titi lake moja likawa dogo kuliko lingine inavyoaminika toka kwa reliable sources Peter sorted it out hana mchezo akafanya mpango mpenzi wake akajiziwa silicon-boob job- kwenye ziwa la pili ili yawe sawa.

    ReplyDelete
  29. YEEEEEEEEEEEEEEESSSSSSSSSSSSSSS MKURUGENZI PETER FANYA MAMBOZZZZZZZZZ TUKO NYUMA YAKO. NA WENYE WIVU WACHOOOO,,,,,WACHONGEEEEE. MLIPENDEZA SAAAAAAAAANAAAAAAAA KWENYE HARUSI YA SYLVESTER CHEYO. WEWE NA IRENE KWELI NI CATCH. ACHANA NA WAKORA WEWE KAZI MOJA TU. WAMESEEEEEEEEEEEEMA WEEEEEEEEE WAMEKUPAKAAAAAA WEEEEEEEEEEE LAKINI THE LADY STOOD BY YOU. KWELI NINGEPATA LADY KAMA HUYU NAMI NINGEFURAHI. JE PETER TUAMBIE ANA DADA AU MDOGO WAKE UNIUNGANISHIE NA MIMI JAMANI UUUUUUUUUWIIIIIIIIIII.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...