Home
Unlabelled
shopingi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hayo mantranka yamenikumbusha bodingi skuli....
ReplyDeleteHuyu michuzi anaelekea ni mshamba wa kwenda nje sasa sababu kila wakati newala newala, aibu mjomba hiyo. Hacha ka ushamba.
ReplyDeleteSasa ushamba gani unaozungumzia? Kama huna cha kusema kaa kimya. Kwani kuna uajabu gani kwa mtu kutowahi kusafiri? Mtu mzima ovyoooo!
ReplyDeleteHuyo nanihii wako mbona ana vidimu vya kinoma noma michuzi?
ReplyDeleteOk huko unakoenda naye waambie wamchane basi halafu wampampu pampu.
Si unajua madoctor wa huko ndio wenyewe kwa kurekebisha vidimu vya kichaga kama hivyo.....
Ndio maana ile picha ya mwanzo ulikuwa amemkalisha!
Hivyo ni VICHUGUU vinahitaji pump!
ReplyDeleteHeshima ni kitu cha busara sana, na kama huna basi wewe ni MWEHU. Poleni sana.
ReplyDeleteAnko Misupu naomba nikuulidhe thwali; hivi ni kweli uko siriazi kwamba unahendaga Newala na masanduku ya CHUMA? Tafadhali wadau naomba mnithaidie kumpa daratha anko wetu huyu!!!!!!!!
ReplyDelete