Home
Unlabelled
neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waziri hakujua anapokwenda ? Mhh suti yake ya kwa fundi Juma nzuri sana lakini tukienda kwenye michezo nashauri vaa kama JK
ReplyDeleteWee mshkaji uliye toa point hapo juu naona unakiwewe tu inawezekana kwenda kuangalia match ukiwa umevaa suti, kumbuka hata akina bush, clinton na hata kina michael joldan wameonekana viwanja vya michezo mara nyingi wakiwa wamevaa suti mimi sioni ubaya wa kufanya hivyo ni mapenzi ya mtu tu. Mzee umekalili mavazi nini? JK tunafurahishwa sana na kujihusisha kwako kwa karibu katika michezo. Tusimwangushe kiongozi wetu na viongozi wa michezo nashauri tusiendekeze rushwa tujari utaifa kwanza. Nitaendelea kutoa misaada kwa taifa na binti mrembo wa Tanzania karibu sana London nitakusubiri na kukusaidia kwa kila mali.
ReplyDeletewewe hapo juu,umemwona Rais gani? aliyevaa jezi ya taifa wakati timu yake inacheza? world cup uliangalia? au unakritisaizi tu,au una chuki binafsi na mhe.Khatib?
ReplyDeletesimba,acha kukurupuka,anonymous nadhani alikuwa anamtee mhe.aliyevaa suti,kama watu ameanza kumponda!! JK kutoka na uzi wa taifa hiyo ni bomba kupita kiasi,Ila waziri hajakosea kuvaa suti kwenye mechi.
ReplyDeletewe J. Pemba V.P GSB tuonaomba ushahidi wa hao waliokwenda formal dress kwenye mechi wakiwa watazamaji na sio guest of honour mimi nitakupa ushahidi na links utawaona hao wewe unaowaona ni mifano kwako wakiwa na casual dress. Sioni kama lazima tuwaige kina Clinton au nani dressing manners hatuna huyo huyo akienda kazini na shatu la kitenge na suruali ya blue imeshona kwa uzi mweupe.....
ReplyDeleteSasa rais tumepata, babu kuubwa, Michuzi shukrani sana kwa picha, watoto wamependeza, rangi ni ya taifa rasmi kwa mara ya kwanza, uzi ni nini? adidas au? safi sana, halafu wewe JACK PEMBA mbona mshari hivyo, mambo ya urembo na mpira vinahusiana nini? au unajaribu tu ku wa provoke watu wakusemee ovyo utukane tena, kuna haja ya Michuzi kumbana huyu jamaa, he is a NEGATIVE influence and a troublemaker.
ReplyDeleteHuyu anataka publicity wala msijisumbue kumzungumzia maana kadiri manavyoongea mnampandisha chati achaneni naye baada ya kutoa msaada na kuandikwa na magazeti tayari sasa yeye si news tena sasa mkianza kumsuta ama kujadiliana naye mnapa nafasi ya kuwa news. ACHANENI NAYE
ReplyDeleteChuki mchukieni haki zake mpeni. Mwacheni nae achangie maoni yako kwani nyie ina wauma nini. Wabongo bwana kwa roho za korosho!!!!
ReplyDelete