mojawapo ya vitendea kazi vipya vya jeshi la polisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mkishamaliza kununua vifaa vya kupigia watu msisahau kununua na ambulance, za kukimbizia majeruhi hospitali na kuongeza vitanda vya kulalia hospitali tutakapokuwa tumelazwa na majeraha ...

    ReplyDelete
  2. ha ha haaaaaa.....hiyo kali sana anoni hapo juu, everything in sequence siyoo?

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza umenikuna haswa!

    ReplyDelete
  4. hahahahahah anon yaani ni kweli kabisa.

    ReplyDelete
  5. nahisi kama hilo gari limekata mawasiliano.linatembea kweli?

    ReplyDelete
  6. anon hapo juu umeronga ukweli.kwa vimeo hao.magari yao maboooooovu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...