jamaa wakivuna mchanga mto msimbazi sehemu za tabata dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa jamaa hawajui kwamba ndio wanaongeza kina na ukubwa wa huu mto? Serikali iwapige marufuku na kuwaondoa.

    ReplyDelete
  2. sio mbaya kama kina cha maji kikiongezeka si unajua tena na umeme wenyewe wa mgao na bwawa la mtera kajamba nani, hawa jamaa wana akili sana acha waongeze kina cha maji ili wabongo tuondokane na mgao wa umeme !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...