jk akiwa na baadhi ya wafanyabiashara alioongozana nao ughaibuni. wa tatu kulia anaishi ughaibuni, jina nimesahau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Mpiga picha wanaaibisha sasa maana umefikia pointi ya kutowajua majina wateja wako.Loh angalia usije ukatupa habari za uongo.

    ReplyDelete
  2. Wafanya biashara gani hawa wezi tu! Wanakula pesa za wananchi wakishirikiana na serikali ya JK. Wamekuja Ughibuni kutafuta Wabongo wnaofanya kazi huku wanunue nyumba Bongo kwa kutumia mikopo ya mabenki ya huku. Kama sio utaperi huo I don't know you tell me. How many people can afford two mortgages? Or how will this type of venture improve the economy and the lives of regular Tanzanians?

    ReplyDelete
  3. Guys!-Please!!!!
    If you dont have nothing to comment, just dont do it.To comment rubbish, na uongo uso kuwa na prove it's nonsense.

    ReplyDelete
  4. Ukweli unauma Toni!
    Tell me waliwaeleza nini Wabongo wa Boston over the weekend?

    ReplyDelete
  5. Hivi hawa ni wafanyabiashara wa kitu gani na wamepatikana vipi????????. Hii tabia ya Rais JK kchukua washikaji zake na kwenda nao Nje ya nchi kwa gharama za pesa ya walipakodi ni kuwaumiza wananchi.

    Hebu tujiuluze swali Hawa wafanya biashara wanamuwakilisha nani? na JK amewapataje???????????.

    Ama kweli the Beautiful one is not yet Born!!!!!!!!!.

    ReplyDelete
  6. Hivyo WATZ watamvumilia huyu bwana mpaka lini kama kweli anachukua rafiki zake!Ni wakati mzuri akajifunza ili kukwepa lawama za aina hii. Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi huu nadhani atatupa mafanikio ya msafara huo, vinginevyo HAPANA BABA, IKULU SI KIJIWE CHA MARAFIKI.

    ReplyDelete
  7. wabongo kila kitu lawama, wewe unafanya biashara gani za maana mpaka uwekwe kwenye msafara wa Raisi?

    Portfolio yako ya kijiweni, kazi kuuza ndimu, dagaa na udongo na wewe unataka kusafiri na raisi?

    Na kwa Anony wa 3:56AM 9/24/06.
    Hivi unajua kama wakifanikiwa kuuza nyumba tanzania kwa mortgage za Marekani hivi unajua huo uchumi wa tz utakua kiasi gani? Kama hujui uliza nikupe shule ya uchumi.

    ReplyDelete
  8. Habari ya Hawa wafanyabiashara watawasaidiaje wanachi wa kawaida ni swali hao wananchi wa kawaida kujibu, sio Wafanyabishara..

    Tatizo watu Mumezidi kulaumu alafu ideas mpya hamtoi!! (Afadhali JK ni Pro-Business na anajaribu New ideas)..Eti fedha za Serikali?? Wafanyabishara hawa wamejigharimu wenyewe acheni Uzushi!! Tatizo wafanyabiashara wengine,au tuviite vifanyamfano-biashara vingine gharama za safari kama hii ndio Mitaji na Mapato ya Mwaka--bado mikopo hujarudisha... Ughaibuni nani awakaribishe sasa..Hata Mungu alisema " Anasaidia Yule anayejisaidia Mwenyewe"...Opps, Time is Up! I have to get back to the Board Meeting.

    ReplyDelete
  9. Anoy 9.33pm, I don't need your economics! I teach economics! So go teach uchumi to some school less people you share meet ktk vituo vya mabasi or subways.

    ReplyDelete
  10. Lakini jamani wenzangu huko ughaibuni naomba kuuliza. Mvuvi mimi, ninaefanya biashara yangu ya Uduvi feri, na kukaanga pweza pale manzese, siwezi siku moja nikapata nafasi ya kusafiri na mheshimiwa? Je siwezi kupanda hilo lichumba likubwa linalopaa angani nami nikajifunga mkanda nikiwa na mheshimiwa, kuja kuangalia mafanikio ya wavuvi wa huko, kama wanatumia ndoano au mishipi kama mimi huku? je nifanyeje ili nami nifanikiwe? maana kila nikijitahidi kutaka japo kupata mikopo ya kibiashara benki ili niweze kupanua biashara yangu na kuifanyia marekebisho mtumbwi wangu, nanyimwa mkopo kwa masharti na visingizio lukuki. hata kusikilizwa sisiskilizwi. je hawa wenzangu wanaopata nafasi hata ya kuweza kusafiri na JK wao walizaliwa na pesa, au walizirithi? au wao walichaguliwa na Mungu kuwa wafanya bishara bora nchini? Nisaidieni mawazo.
    Mvuvi mhangaikaji, Feri, njia panda kwenda Kigamboni

    ReplyDelete
  11. Anony 10:38, sentensi zako za kiingereza dhaifu na madoido ya Azania Secondary kumenifumbua macho!!! Kama Wewe kweli ni mwalimu wa uchumi basi ni Chuo cha MATAHIRA.

    Na kabla ya kuendelea na mjadala kasome notes zako kutoka kwenye vyuo visivyotambulika.

    ReplyDelete
  12. Mmekaria kufikiri kila mtu huku ughaibuni anabeba mabox ama anaosha wazee sasa huu ni wakati mzuri mjionee wenyewe ris wenu hapo bongo kumkaribia issue lakini kiwanja anakula sahani moja na wachamba matako kama mnavyo tuita, rabda sasa mtaona ukweli kamili, kiwanja noma uliza uambiwe usibwatuke bila kuwa na uhakika.Hawa wote ni wasomi na wengine wafanya biashara kubwa nadhani hapo wanajadiri jinsi ya kuwaretea umeme wa kudumu na deodorants kama siyo dawa za meno!!

    ReplyDelete
  13. Lusajo, tusamee ndugu yangu kama unadhani sisi wavuvi, wakulima na wamachinga wa nchi hii tunakufikiria unasafisha vizee vya kikoloni makalio yao. au unabeba maboksi huko na kuacha kuyabebea hapa bandarini na kariakoo.

    Anyway, kula sahani moja na mheshimiwa wetu si jambo la kutisha sana, ni kwamba anakuwa anawapa moyo nyie ndugu zetu mlio mbali nasi, na kuwaleteeni salamu zetu ya kwamba tunawakumbuka, na tunawahitaji pindi mmalizapo shuguli zenu mrudi, tumewamiss mno. Mko mbali na upeo wa macho yetu. Pia kumbuka sisi pia huwa tunakula nae siku moja moja kwenye Maulid, Idd, Mwenge, nk.

    Hao wasomi, na wafanya biashara wakubwa tunawahitaji sana nchini kwa elimu yao kwa maendeleo ya taifa na si kuvaa suti na kuchekacheka huko ughaibuni. Pili kuhusu kujadili kutuletea umeme wa kudumu, nadhani tatizo la umeme lilianza 1993, na leo ni miaka 13 hatujasikia msomi yeyote aliyetoka huko ughaibuni akatuletea ufumbuzi zaidi ya kuwaona wakivaa masuti na kushika maglass ya mguu mmoja yenye mvinyo. Tatu unaongelea odorono (deodorants), kwakweli sisi si kitu muhimu sana kwetu, kwani kutokana na kazi zetu za kuzamia majini kuvua pweza, kutembeza machungwa, kulima, kubeba mizigo nk, tunatoka jasho kila wakati na hiyo odorono wanayoijadili kutuletea haitusadii lolote. nne kuhusu dawa za meno, nadhani Flouride, Mint na calcium vinapatikana kwa wingi sana nchini, so hawana haja ya kutuletea, watufungulie viwanda vya kututengenezea hizo dawa. wakishindwa tutaendelea kutumia, karafuu, majivu, mdaa kwa kutunza meno yetu kama kawaida.

    Naomba utusamehe sana sisi wazalendo wenzako tuliobaki nchini kama una mawazo hayo.
    karibu sana nyumbani

    ReplyDelete
  14. mvuvi una muda wa bure ndugu yangu unaelezea pumba tumia muda wako kwa mambo ya kujiendeleza na acha kuelezea pumba

    ReplyDelete
  15. I am sure huyo aliyejiita Lusajo kibonde sio Sajo naemjua mimi. Sajo hawezi kuchanganya "Ls" na "Rs" katika sentensi zake. Tusitumie majina ya watu kuandika pumba. Sajo knows better that kutumia jina lake hapa, hata kama angeandika pointi asingelitumia. acha hizo wewe uliyejiita Lusajo Kibonde

    ReplyDelete
  16. huyo aliejiita lusaja ndo muosho matoko.cjui k2 gani kinamkereketa kama yeye haoshi matako,na hata kama unaosha si wewe kuna haja ya kurudia rudia swala moja kila wakati?kuandika kwenyewe tabu....na kwanini usijiaminishe uka2mia jina lako mpaka u2mie la mwenzio?.jamani uh!

    ReplyDelete
  17. Anonymous 3:41, Sajo bwanako? mbona unamtetea??
    Anonymous 3:47, muosho matoko ndio nini? Fala unajifanya unajua kuandika kumbe bogasi tu, muosha mavi we

    ReplyDelete
  18. Wakati mwingine lazima tukubali ukweli, hizo kazi tunazifanya hasa za kubeba mabox na hata kuwaosha hao wazee katika Care Houses, sasa mnapokali kubisha tu wakati ni ukweli sijui itasaidia nini la maana zinalipa na zinatusaidia kuishi, tujifunze kuwa wakweli sawa?

    ReplyDelete
  19. Anony 6.01PM, Sajo sio Bwanangu, but he is my good long-time friend, so I will always stand by him. Beat them players in their own games, dont hate. Kasome upate kazi kama ya Sajo, usimu-hate for nothing.

    ReplyDelete
  20. anony hapo juu, mkewe Lusajo Kibonde anakujua kama wewe ni "Long time friend" wa mumewe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...