Home
Unlabelled
akademi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hatua kubwa hii tunapiga kuelekea mafanikio ya soka.Skul ya Football hiyo na hakika ikikamilika,maelfu ya vijana wataonyesha vipaji vyao vya soka hali itakayotoa soko katika nchi za Ulaya.Cha msingi hapa ni kwamba vijana wachukuliwe toka kila pembe ya nchi na si Dar tu maana vijijini kuna vipachi kibao.Asante Mathew kwa jitihada zako.
ReplyDeleteHapo zingetoka flat ngapi za 75m2 za 3 rooms, katika gorofa 6 tu, Ili ziweze kuwahifadhi wamama na watoto wasiokuwa na uwezo au baba, wa huko huko Mtoni Kijichi?
ReplyDeleteBadala yake wanageza, hivyo ni vitu ambavyo huwa vinakuja baadaye wakati kila mkazi anaishi stable.
Huyo boss hapo juu ameandika nini ? hiyo si charity ni business ! ni mtu anawekeza capital yake kwa msingi wa kupata faida !
ReplyDeleteKalagabaho !
Hongera kaka Mathew! lakini wasi wasi wangu ni kuwa mpango huu umeanza muda mrefu sana!! Ila kila siku tunaonyeshwa model peke yake!!
ReplyDeleteKama uko serious nafikiri ungetuelezea pia source of funds. pia nakushauri uende kwenye mashirika kama NSSF,PPF,PSPF etc kuona kama wanaweza kukusaidia.
Hongera kwa vision yako hiyo
nafikiri hilo ni wazo zuri na sion sababu ya huyo kusema funds kazitoa wapi. Hongera sana!
ReplyDeleteMmmh Selemani Mathew una mambo umeibukia tena kwenye soka academy? Hata hivyo unajua kuzichanga akili ongeza jitihada. Ila hatujasahau usanii uliowafanyia wachezaji wakongwe wa Yanga na Simba kupitia kwenye ki NGO chako ambacho sijui hata kama kilikuwa kimesajiliwa.
ReplyDeleteHivi huyu Nchimbi udaktari kasomea wapi?
ReplyDeleteBongo kuna Madaktari wengi tu wa Siasa za majukwaani pasiipokuwa na Phd, usijeshangaa siku moja Yussuf Makamba nae atajiita Dr. Yussuf Makamba. Ili kuwapima inabdi kuwakusanya Madaktari vingunge wote waende katika vyuo vikuu vyetu wakatoe lectures kwa part time ili kuziba pengo la uhaba wa wahadhili.
ReplyDeleteYALEYALE.. WALISHINDWA KIJIJI CHA MICHEZO PALE UWANJA WA TAIFA MPAKA LEO NI MAGOFU, WANAKUJA NA JIPYA. MZEE MATHEW OMBA KIJIJI KILE WAKUPE UENDELEZE.
ReplyDeleteHii model inaonyesha haijatengenezwa na architect proffesional. Inaonyesha uwanja wa football una magoli ya basketball! halafu milango ya hizo ghorofa iko kwa nnje!!! bila ngazi...Huu ni usanii.
ReplyDeleteHii model inaonyesha haijatengenezwa na architect proffesional. Inaonyesha uwanja wa football una magoli ya basketball! halafu milango ya hizo ghorofa iko kwa nnje!!! bila ngazi...Huu ni usanii.
ReplyDeleteMuda wa kuchezeana akili umepita. Nchi isikubali ubabaishaji. Kama huu ni mradi hai, wadau washirikishwe. Polisi na michezo wapi na wapi? Au ndiyo kuandaa mazingira ya kupwepa pingu siku za mbele? Hata kama ni uwekezaji binafsi, unagusa Taifa moja kwa moja. Private Finance Initiative hiyo, lazima isimamiwe na mradi utimize lengo lake. Hongera sana Mathew kwa kubuni kinachohitajika!
ReplyDelete