jei zii akikamua dayamondi. watani wa jadi kama 200 walikuja kumshuhudia akiwa bongo baada ya kushinda bahati nasibu maalumu iliyochezeshwa kwao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ni entertainer mzuri nadhani ndugu zangu wa bongo flava mmepata wakati mzuri wa kujifunza mengi kuhusiana na mziki wa rap. huyu jamaa hata huku ughaibuni show zake siyo mchezo natumaini wote mliopata muda kumwona mli enjoy vya kutosha.

    ReplyDelete
  2. Kaka micchuzi narudia tena nakutaka radhi ndugu yangu nilikuwa najaribu guts zako lakini nimeona si vema kuendeleza mapinduzi haya maana yanawaudhi si wewe tu bali hata waungwana wengine wanaokuwa envolved that is why I stopped those boo shit nadhani umesamehe na umeona comments zangu zina anza kubadilika from left wing to right wing...pole sana michuzi you shouldn`t sit down there looking all comments posted if it were not people like me so again sorry I am saved and move on...

    ReplyDelete
  3. this is very fun to hear that this guy kaenda kumuomba Jayz saa yake.Too bad Jayz's male ego ika click akajua this is some type of scum.Si utani mjomba angezubaa njemba ingedaka saa ile.

    ReplyDelete
  4. mizzou safi sana!

    ReplyDelete
  5. Nina swali hapo umeniacha. watani wa jadi ndio akina nani??

    ReplyDelete
  6. Mizzou that is grown ups talk.

    ReplyDelete
  7. Mwai Kibaki.Jibu la swali la hapo juu.

    ReplyDelete
  8. Mizzou wacha kujibadilisha anony na kujisifia!
    We can see you!

    ReplyDelete
  9. FULANA YA BONGO YA JAY-Z

    Available at the Jamhuri shop on-line click here>Jamhuri Wear

    ReplyDelete
  10. hiyo fulana in jamhuriwear.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...