jana jk alisherehekea kutimiza miaka 56 ya kuzaliwa. hapa katibu wa rais bw. d.k. jairo na mwandishi msaidizi wa rais bi. m. mwingira wakimpa jk zawadi kwa niaba ya wafanyakazi wa ikulu. jk alizaliwa oktoba 7, 1950 kwenye kijiji cha msonga, bagamoyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. No wonder Msonga-Bagamoyo ndio maana anaogopa wazungu na waikristo.
    Kazaliwa hospitali gani? Au nyumbani?
    Sababu 1950 watz walishaanza kuzaliwa hospilatini sio, kama wazazi wako walikuwa werevu.
    Give us details please, about our Mr. President.
    Anyway I dedicate to you Mr. President a Marlin Manroe Happy birthday song.

    ReplyDelete
  2. Hapo ndio CM angemkabidhi zawadi ya calender na kumuibia Happy birthday.

    ReplyDelete
  3. SI MATANI!!!
    http://www.youtube.com/watch?v=EGJZ6lJj2_M

    ReplyDelete
  4. Wewe unayetuwekea hiyo link ya youtube, ondoa utumwa kichwani kwako

    ReplyDelete
  5. Nyimbo yenu mbaya kabisa,hata hamueleweki mnaongelea nini

    ReplyDelete
  6. Happy Birthday Mr President may god bless you and wish u happy long life .

    ReplyDelete
  7. Rais wetu kazaliwa kijijini bila ya anasthesia! Ndio maana juzi akifunga mkutano wa wataalamu wa mambo na huduma za afya hapa AICC, Arusha, alitamka wazi kuwa Tanzania ya leo haina budi kutambua na kuheshimu wakunga wa jadi, hususani huko vjijini! Yaanai anataka wakina mama wa vjijini waendelee kuzaa kama pundamilia, nyamela, swala, fisi, na kadhalika, bila kutumia anasthesia au sizeriani operesheni! Je, hayo ndio maisha mazuri kwa kila Mtanzania?

    ReplyDelete
  8. eee!dada maura kaiva si mchezo

    ReplyDelete
  9. Narekebisha ni kijiji cha MSOGA katika tarafa ya LUGOBA Wilaya ya BAGAMOYO sio MSONGA

    ReplyDelete
  10. SAWA LAKINI HOSPITALI GANI?

    ReplyDelete
  11. lakini na ninyi Watanzania wangu, hivi hamsomi somi yaandikwayo katika magazeti yetu ya Bongo? Kwa nini muulizane nilizaliwa hospitali gani? Someni basi niliyosema:
    Rais Kikwete aagiza wakunga wa jadi watumiwe kikamilifu nchini
    By Novatus Makunga | Published 10/5/2006 |

    Kam ni wavivu, basi ngoja ninukuru nilivyonukuriwa nikisema:

    ''Jamani mimi nimezaliwa kupitia mikono ya wakunga wa jadi naamini hata wewe profesa(Mwakyusa) ama siyo ?,nyinyi wote wenye umri wangu lazima itakuwa hivyo hivyo sasa hakuna haja ya kuwadharau ni watu muhimu sana kwa taifa.''

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...