HABARI TOKA UWANJA WA MACHAVA MSUMBIJI NI KWAMBA TAIFA STAAZ IMETOA DROO BILA BILA NA MSUMBIJI NA MPIRA UMEKWISHA
Home
Unlabelled
TAARIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo babkubwa na wakija taifa tunawapiga bao.
ReplyDeleteMichuzi asante kwa habari hizo !
ReplyDeleteMichuzi, Asante sana kwa update! Tuombe Taifa Stars washinde!
ReplyDeleteHapa USA tunamaliza msimu wa baseball. Jana Detroit Tigers wameshinda New York Yankees kwenye playoff game ya Baseball. Watacheza na New York Mets kwenye World series. Detroit walikuwa hawajapata ushindi tokea 1984. Ni ajabu kuona Yankees wameangushwa na Detroit!
We da Chemi, Shikamoo kwanza, ingawa mkubwa wangu lazima nikukosoe hiyo ndiyo police yangu. Comment yako inakuwa kama sio mwana blog bwana!
ReplyDeleteWaafrica, Europe na South America mpira ambao ni maarufu na wanaoutilia kipau mbele ni soccer au kabumbu kikwetu ndio culture yetu na mchezo wa kwanza tunaouelewa.
Sasa wewe unakuja na mambo ya baseball, sijui nini hiyo hatuielewi kwenye blog hii.
We r not intr.....ok aunt ...sorry.
Asante sana mzee Michuzi. Nakufagilia sana kwa moyo wako wa kutufaamisha yaendeleayo huko kwa njia ya picha na habari. Mwenyezi akuzidishie.
ReplyDeleteBasi mambo sio mabaya MICHUZI kwani wabongo tunapeta,huku Burkino faso amemuwasha senegal kwahio sisi ndio tunaongoza mpaka sasa.
ReplyDeleteShukran Michuzi kwa Taarifa hiyo!,ninavyoelewa mimi Senegal ni nzuri zaidi ya Msumbiji,Tuvute soksi juu kazi ijayo ni nzito zaidi ya hiyo ya Maputo!,Wabaneni vijana ili wasibweteke.Tupo nanyi.Kazi nzuri Michuzi .Asante sana!!
ReplyDeletewe anonymous 9:34:47 ni policy siyo police!du!
ReplyDeletewe anonymous 9:34:47 ni policy siyo police
ReplyDeleteSasa jamaa kakosea kidogo tu watu mnapiga kilele. Je mkisoma ile comment yake kweli, si mtu anayejua kimombo? Wabongo tuvumiliane. Chemponda halikosea kuingiza mambo ya Baseball kwenye Soccer tena la kibongo!.
ReplyDeleteasante Michuzi kwa taarifa ya mpira. YOU ARE THE BEST.ujue mimi huwa sifatilii mpira wa home maana kila siku tunashindwa, lakini inatia faraja tunaposhinda na kwenda mbele, basi pia tunaomba uwe unatupa maendeleo zaidi ili tujue kama timu yetu itaweza kuendelea mbele zaidi au la
ReplyDeleteSI MATANI STARS
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=EGJZ6lJj2_M
Maskini akipata matako hulia mbwata. Yaani hiyo sare tena na wachovu Msumbiji watu manapiga kelele utafikiri tumeshinda? Looh. Kwa taarifa yenu ni timu moja tu ndio inaenda Ghana kutoka kila kundi na kilicho wazi timu hiyo si Tanzania. Kama tunataka kuziingia fainali za 2010 tunatakiwa kuibua vipaji sasa hivi na kuwaendeleza kama Ivory Coast walivyofanya
ReplyDeleteWewe hapo juu nafikiri hujui mpira wa miguu na hujawahi kuucheza. Kwa taarifa yako tuu mpira unadunda chochote kinawezekana. Taifa Stars as we write wana-lead group yao kwa point 4 na bila kupoteza mchezo. Vilevile naona hujui sheria za qualifying for Ghana 2008. Four 2nd best placed teams will also qualify.
ReplyDeleteBurkina Faso 1-0 Senegal
A penalty separated Burkina Faso and Senegal in Ouagadougou
Narcisse Yameogo scored from the penalty spot in the 63rd minute to give Burkina Faso a 1-0 win over Senegal in an African Cup of Nations qualifier.
Senegal, who have three points from two games, finished the match with 10 men after Papa Diakate was sent off.
"We congratulate Burkina Faso for their good play," said Senegal striker El Hadji Diouf.
""We will still have a chance to qualify after we correct what did not work today."
Michuzi watahadharishe vijana ! Senegal wakicheza na Stars Diof anatema mate kama nyoka ! sijui kama kashacheki ngoma ama vipi !
ReplyDeleteMichuzi asante sana kwa updates zako, kwa wanasoka tunajua tulivyo dharauliwa na mataifa mengine kisoka I hope hiyo ndio mwanzo wa kurudi kwenye ramani ya soka.
ReplyDeleteKwa dada Chemponda kama hujui vitu usiongelee basi, Detroit ndio kwanza iko kwenye division comp, bado kuna games za level kama mbili kabla ya kufika world series, samahani kama nimekuonyesha kwa watu kwamba hujui unachoongea lakini
pEACE
Michuzi hivi ni kweli waandishi wa habari bongo,mnamwabudu Kikwete?Wewe I can understand amekupa maisha !!!Lakini mbona waandishi wote wanamfagilia?
ReplyDeleteUkweli huko wapi hapa!!!
Hongera STARS Droo inatosha .Iliyobaki tumfunge Senegal,msiogope inawezekana.
This isour time. Fagilia Stars babake. Tukienda kwao tuna droo wakija kwetu tunaua. Mmmh ndio mwake babake. Ngoma dwamwati yani. Sasa Michuzi fanya mambo ya Picha basi tuone vijana wanavyotesa. Usisahau nilikuambia kuwa 2006 Ghana tupo.
ReplyDeleteEbwana Michuzi Mungu akubariki kwa kuendelea kutuletea habari na picha kibao toka nyumbani....Mimi kama Mbongo hapa US ninashukuru sana.Mimi ninaamini Taifa Stars ya sasa itafanya mambo all the way to Ghana.Keep Ya Headz Up Taifa Starz...We Pray For Y'all!!!God Bless Tanzania
ReplyDeletesisi tulioangslia mpira live kwa kweli goalkeeper anahitajia bigup ya peke yake.ni kiboko amejtahidi sana pamoja na wengine.god bless tz.
ReplyDeleteKwa kweli mechi ilikuwa Ivo mapunda against Msumbiji.
ReplyDeleteTaifa stars full shangwe!! full kujiachia!!! Hureee. Kama wao wanaweza kwa nini na sisi tushindwe! Under the sun everything is almost not impossible!!
ReplyDeleteSenegal miaka hii kiwango chao cha soka kimeanza kushuka kwa kuwa wachezaji wake wengi wameenda Ulaya kuwa Professionals na wamekuwa matajiri kwa kupata pesa lukuki sasa wakirudi katika timu yao ya taifa wameanza kuringa kama akina Diouf. Kwa hiyo sishangai tukicheza nao tukawafunga. Kiwango cha soka la Taifa Stars kimepanda baada ya kupata motisha, katika FIFA rank tuko wa 105 ukilinganisha na Msumbiji ambao ni wa 138. Inabidi tujitahidi turudie rekodi yetu ya zamani ambapo tuliwahi kuwa wa 86 hivi tuliwaacha Kenya na Uganda hapa Afrika Mashariki, ikiwezekana tupande zaidi ya hapo awali, inawezekana!
ReplyDeletegood result from our boys...i think we played well,specially second half,one thing i noted in the first half was the midfield lacked confidence and the positioning was poor,thats why we really suffered,second half we really had a good plan,Nizar halfan brought some confidence in the team.have to say Victor Cost put some commanding display at the back,Shadrack Nsajingwa showed some flashes of brilliance...Lets go to Brazil as promised...we will whoop whoever comes our way...let it be Senegal or any team.our only job is winning all of our home matches....COME LADS...WE CAN MAKE IT TO GHANA
ReplyDelete