Home
Unlabelled
bwamkuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi huyu ndiye mganga wa timu nini?
ReplyDeleteSiyo mganga bali ni Mwanga tu tapeli anayejidai mlozi anayeenda kuloga wachezaji wa Msumbiji washindwe kushinda.Ni aibu kwa nchi kupoteza hela kulipia tiketi ya ndege kwa ajili ya mwanga tapeli kama huyu.Huyo ilitakiwa aachwe aende kwa ungo kama ni mwanga kweli na ana usongo wa kuwanga!!!Mwanga kweli hapandi ndege yeye ni ungo,fisi n.k Hili tapeli tu msilibebe tena.
ReplyDeleteHili Wanga si liliwahi kula pesa za Yanga na lilivyoulizwa likaanza kulia ? ilikuwa mwaka uleeeeeeeeee, enzi za marehemu Gulamali. Namsapoti anoy wahapo juu haya matapeli yasiwe yanabebwa kwa tax payers money.
ReplyDeleteBWAMKUU UMEVAA DENTURES? DOOH HAYO MENO UTAFIKIRI NI LAST YEAR NDIYO YALIONJA MSWAKI DAMN?
ReplyDeleteYaani huyo tapeli kapenyeza hadi kujiita mganga wa kienyeji wa timu ya taifa? Jamani toeni haraka hilo ni tapeli babu kubwa msiliweke karibu na waheshimiwa tapeli kama hilo jamani!Mbona mnatia aibu Tanzania jamani.
ReplyDeleteJamani, Huyu ni kiongozi wa kamati ya ufundi.Nadhani ufundi huu utatufikisha Ghana, na hatimae South Africa.
ReplyDelete