da'janet wa kijiji cha makumbusho akimfunga biyonsi kibwebwe akacheze sindimba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mungu akinijalia na mimi nikapata tu dollar, kama Jay Z hataki kumvisha PETE ya uchumba huyu dada mwakani lazima nitoe POSA kwa Beyonce tuna ng`ombe wengi sana MUSOMA wa maziwa na nyama...ni vizuri amepajua kwetu Tanganyika...!Kaka michuzi utakuwa mpiga picha mkuu.. photo point mko tayari?

    ReplyDelete
  2. Huyu Beyonce ana mpango wa kuka-adopti nini katoto ka kusaga?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...