jk akiwaanga taifa staaz baada ya kula nao dina juzi ikulu. kesho jumapili wanakipiga na msumbiji mjini maputo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu isaidie timu yetu ya taifa ishinde mchezo dhidi ya Mambas wa Msumbiji.Tuna hamu ya kuelekea Ghana 2008.Naamini nia tunayo hasa hamasa ambayo wachezaji wa stars wanaionyesha.Eeee Mungu bariki ushindi....AMIN

    ReplyDelete
  2. Michezo ni kiungo muhimu kwenye jamii, ni biashara(kiuchumi) nampa pongezi JK kuonyesha uzalendo wake inawatia moyo wachezaji, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  3. Huyu rais shati lake linatoa jasho sasa hapo kikwapa sio kutema bwana. Kwana hawezi kuwa na designer anayemvisha. Wange mvalsiha hata tshirt ndani lakini sio kaunda suti yake kuwa na jasho kibao.

    ReplyDelete
  4. Michezo ni kiungo kwenye jamii, ni bishara(kiuchumi) nampongeza JK kwa kuonyesha uzalendo, inawatia moyo wachezaji, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  5. wewe michuzi hiyo tabia yako ya umbeya ndiyo inakuletea matatizo sasa picha ya hao uliyoibatiza shukrani chini ya yahii ya stars mbona umekataa tusiweke maoni. ndiyo maana tuna kuita malaya wa news

    ReplyDelete
  6. KIKWAPA!!! KIKWAPA....huyu Rais hajui MANLY cleanliness. Kuna ROLL ON ya kupaka under the armpits kuzuia VIKWAPA....Mr. Pres that is disgusting...am sorry

    ReplyDelete
  7. Annony 3:16:38 AM, acha ufinyu wa mawazo joto la bongo unaweza kuzuia jasho na hiyo roll on, pumbaf kabebe box, tunaongelea mambo ya muhimu ya taifa, mama yako akikaa vibaya utasimulia ulichokiona?

    ReplyDelete
  8. E bwana uzi wa Stars maneno ! mtu angeanzisha ka ebay tungeuziana hapa !
    Hii ni adidas kweli ama mifyatuo ya kichina ?

    ReplyDelete
  9. JK kikwapa..... hana deodorant?

    ReplyDelete
  10. sasa kama kuna joto kali kwa nini na yeye JK anajipachika minguo mingi long sleeves? tena inaelekea alivaa na ma T shirt... ni aibu Rais kuwa na kikwapa sasa na wana nchi mtakuwaje? nasikia wanataka ku ban deodorant na dawa za meno kutoka nje sasa swali linakuja TZ tuna kiwanda cha kutengeneza deodorant? Ama tuna taka ku improve MWAALUBAINI? MICHUZI TULEZE DADA YETU?

    ReplyDelete
  11. Hongera JK. Nakupa 5. Good job. Narudi kwako Mirost, nakumbuka kuna siku nilikuambia kuhusu hawa vijana. Haya sikilizia! Mi nipo na huyo Miss wenu kaula wa chuya. mambo yote soka bwana. Haya ma sipetu haya tulibahatisha tu. Kama ingekuwa inaruhusiwa tungekuwa tunampekeleka Nancy kila mwaka labda hiyo ingesaidia. Ah sasa mambo yote Taifa Stars Oyee! Eh bwa. Mbaraka hebu lete songilingine toka ahera!!

    ReplyDelete
  12. KWA HUYU....Sunday, October 08, 2006 4:09:16 AM, Mtoa Maoni: Anonymous,,,Kuna ROLL ON ambayo unapaka inapunguza sweats za namna hii usiwe mshamba na wewe. This is a shame. Watu huku they judge your cleanliness by your body care, how well u manicure your body...which is not the same for the Pres. (in this situation atleast) na kuma babako we..next time fanya utafiti sio kuropoka tu...

    ReplyDelete
  13. Jamani kwa joto la bongo Mbona Jk anakazi kubwa kukabiriana nalo!!! hata upake deodorant ya tommy , versage whatever !!! jasho litakutoka tu inategeema na unafanya nini. Kwa hali hii Jk kupungia kushangilia sijui nini mijasho yatiririka kama maji mwaaa yaani sio utani Bongo joto lake linahitaji new tech kulikabiri !!!
    KWa hiyo majasho sijui kikwapa acheni jadilini mengineyo

    ReplyDelete
  14. TATIZO SIO KIKWAPA,KAJIACHIA SANA.ALITAKIWA AINUE MKONO KWA KIDOGO...

    ReplyDelete
  15. TATIZO SIO KIKWAPA,TATIZO KAJIACHIA SANA.ALITAKIWA AINUE MKONO KWA POZI KIDOGO...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...