viatu, kofia na vifaa vya shambani vya mwalimu kwenye jumba la makumbusho yake butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ni kumbukumbu mzuri kwa vizazi vyetu vijavyo.Kifimbo sikioni kwenye picha

    ReplyDelete
  2. Kifimbo alizikwa nacho.

    ReplyDelete
  3. Si kifimbo kilipigwa mnada wa kutunisha Mfuko wa Mwalimu, na kununuliwa na Mama Mongella kwa shilingi milioni moja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...