
nafurahi kuwatambulisha maggid mjengwa mwandishi wa makala wa rai na sasa ni bloga wa picha kama mimi. akifanya vitu vyake huko iringa. hebu mtembelee hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother Magid
ReplyDeleteUsiwe kama michuzi bwana !!!Alikuwa anatupa hali halisi bongo kwa kupiga picha nyeti.Lakini kutoka awe mpiga picha mwanasiasa sasa hivi anapiga picha zenye +ve impression tu!!!!!Michuzi aongelei kitu kibaya wala kutoa picha yeyote mbaya inayohusu Bongo.Kweli brother michuzi unajua kula na kipofu!!!!!!!!!!
Nakupa hey Maggid lini utazuka huku tena Stockholm ??
ReplyDeleteSpoileratl umechemsha! Hivi kuna ubaya gani mtu kuongelea hiyo +ve impression tu, wakati hiyo -ve imression hata kama itaonyeshwa mtu kama wewe uliyejichimbia ughaibuni kwa wenzako huna uwezo wa kusaidia hata mawazo ziadi ya kukashifu kila kitu/mtu as if wengine mnaishi mbinguni na ni watakatifu.
ReplyDeleteWabongo kujifanya kujua wakati si lolote ndo wenyewe! Acheni mwenzenu afurahishe roho yake. Hivyo ni bure je mngekuwa mnalipia ingekuwaje?
[i]Maggid tumia visine pia kwenye macho.[/i]
ReplyDeleteWe hujaionja bangi ya mikoani ilivyo?
ReplyDeleteJamaal na anony 6:24:19
ReplyDeleteAsanteni, lakini sikuingia humu kushiriki mashindano ya urembo. Kaka yangu Michuzi nilipokutana naye mara ya mwisho pale Food World Dar ndiye aliyenishauri niangalie uwezekano wa kuanzisha blogu yangu au niwe namtumia picha hasa za huku mashambani. Juzi hapa akaniomba nimtumie Close-Up yangu kwa maana ya picha aitumie kunitangaza. Hiyo picha ndiyo iliyokuwa karibu yangu. Nywele zangu ni za kipilipili. Kuzichana au kuzikata unabaki ni uamuzi wangu wangu ingawa napokea ushauri wa yeyote yule.
Maggid samahani umeoa wewe?
ReplyDeleteMimi ninakutamani!
Maggid usikatishwe tamaa, nimetembelea website yako na nakupa pongezi na encouragement kuendelea na kazi yako. Picha zako za mikoani zinafurahisha sana, zinatia moyo na kuto apicha halisi ya watu katika mtima wa nchi yetu!
ReplyDeleteMaggid midomo ya upande hiyo kaka huwa ina maana yake!!!!.Umeanza vizuri na tunategemea hautabadilika.
ReplyDeleteNo comment kaka Majid
ReplyDeleteRefresh my memory Food world ndiyo Jamaa fast food?.
Anony 10:50:17
ReplyDeleteSujui lini nitafika tena Stockholm,ni jiji zuri!
Anony 8:41:06
Asante sana kwa kunipamba!
Maggid kamwene,
ReplyDeletenakushukuru kwa kuanzisha hii blog ya Iringa na umeanza vizuri.
ombi langu ujitahidi kuweka mapicha +ve kwa uwiano mkubwa zaidi ya -ve. kila la kheri!
Ana ule ugonjwa wa Nairobi Red Eye!
ReplyDeleteaisee maggid nimekwama kama ujumbe unavyonesha. namba yangu unaijua katika kuthibitisha ni mimi. tuwasiliane kwa yahoo
ReplyDeleteNDUGU!
KUNA MTU AMBAYE SIMJUI KAIBA ADDRESS YANGU YA ISSAMICHUZI@GMAIL NA ANAANDIKIA WATU UJUMBE AKIJIFANYA NI MIMI KUOMNBA PESA. NAOMBA ACHANA NAYE NI TAPELO NA ANATAKA KUKUIBIA. TOKA SASA USITUMIE TENA ISSAMICHUZI@GMAIL.COM KWANI IKO MIKONONI MWA TAPELI. UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MFAHAMISHE NA MWINGINE. TUMIA EMAIL HII YA YAHOO TU NA SI GMAL AMA NIPIGIE KWA SIMU HIYO CHINI
MICHU
cELL +255 754 271 266
NDUGU!
I AM WRITING THIS NOTE TO INFORM AND WARN YOU AGAINST MESSAGES FROM ISSAMICHUZI@GMAIL THAT I WAS USING UNTIL THIS EVENING WHEN SOMEONE HACKED IT AND IS NOW POSING AS ME TO SOLICIT FUNDS OR SEND CRAZY MESSAGES PRETENDING THEY ARE FROM ME. pLEASE BE INFORMED ISSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED AND THEREFORE SPAM/IGNORE ALL MESSAGES. I WILL NOW BE USING THIS EMAIL ADDRESS UNTIL FURTHER NOTICE. REMEMBER ISSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED, INFORM ALL OTHERS ABOUT THIS AND INFORM ALL THAT YOU KNOW ABOUT THIS. DONT EVER USE MY GMAIL ADDRESS AGAIN JUST USE THIS YAHOO EMAIL OR CALL ME THRU THE NUMBER BELOW
MICHU
CELL +255 754 271 266