Home
Unlabelled
mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
baada ya kufariki mwalimu nyerere,hata wale viongozi walikuwa waandamizi wake,wanafunzi wake ,wasiopenda utajiri na mali walianza kujifatutia utajiri!
ReplyDeleteje walikuwa wanafiki?
Dr ishengoma
Wanafiki wakubwa!!!!!!! Labda wameona mwanga!
ReplyDeleteWengine wao walikuwa wakija na kutueleza pale Mlimani miaka ya "late 19960s", siasa ya kujitegemea, kulingana na juche - ile ya Korea Kasikazini.
Mwalimu alikuwa "Mwalimu wa Ujamaa". Lakini yaonekana kuwa hakuna aliye-graduate from his class!
WALIKUWA WANAFIKI WOTE HAO. NA WALIKUWA NA HESHIMA NA KUFICHA MAKUCHA YAO KWA KUMHESHIMU MWALIMU NYERERE, BAADA YA KUFA TU WAMEONYESHA MAKUCHA YAO. WOTE HAWA KINA MKAPA. NA HATA HUYU KIKWETE WATU WANASEMA NI MWAMINIFU ANAFATA MKONDO WA MWALIMU NYERERE. SUBUTUUUUU NGOJA TUJIONEE. NA ANA WAFUASI WAKE UFARANSA.
ReplyDeleteYa Mwinyi kuuza hata mbuga zetu za wanyana pori...
ReplyDeleteYa Mkapa yanajulikana kukana sera za Nyerere alipokuwa bado Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Na Mashirika ya Kimataifa...ujamaa huu unatupeleka wapi...Na kuuza kihorela migodi ya madini na mashirika ya umma?
Juzi Kikwete akiwa hapa New York University alitamka categorically, ”Come, invest in Tanzania and in particular in the construction of tourism hotels and travels. We will not seize your investments...I have come here with one voice, and that is to tell you that for those with money and the zeal towards investing in those areas, come and invest. Do not be frightened that my government will seize your property. Those are old policies which do not go with time."
Simply put, Rais Kikwete drilled the last nail into the coffin of nationalisation.
Wabadilishe both CCM and Tanzania constitution na kufuta neno ujamm, and its daily implications zake popote pale katika katiba hizi mbili tujue wazi tu wakina nani!
Mimi na nyumba yangu nibaki mjamaa...si dhambi kwa Muumba!
MJAMAA NAOMBA KUKUULIZA SWALI MOJA MOJA ULICHOANDIKA HAPO UME-QUOTE MANENO YA KIKWETE AU? KAMA SIO AHSANTE NTAFURAHI KUSIKIA HIVYO.
ReplyDeleteMtoa Maoni Anonymous wa: Saa Friday, October 13, 2006 7:17:06 AM,
ReplyDeleteKutoka ippmedia.com
Kikwete woos US investors in tourism sector
2006-09-21 09:22:03
By Special Correspondent
President Jakaya Kikwete has urged investors from USA to come and invest in different sectors in Tanzania, declaring that the nation will protect their investments.
The President made the remarks when contributing to the symposium prepared by one of US institutions dealing in advertisements of tourism attractions found in African countries including tourism transport.
Kikwete said: \”Come, invest in Tanzania and in particular in the construction of tourism hotels and travels. We will not seize your investments.\”
He told participants in the symposium that Tanzania is urgently in need of investors in the tour areas (construction of tourism hotels and travels for tourists) due to the fact that the tourism sector has been contributing greatly earning the country foreign exchange, increasing national income and also a source of employment for the majority of Tanzanians.
\”I have come here with one voice, and that is to tell you that for those with money and the zeal towards investing in those areas, come and invest. Do not be frightened that my government will seize your property. Those are old policies which do not go with time,\” said Kikwete.
nido ya mamaake nyerere imenivutia, inanibidi nikajichue chooni haraka haraka, looo, utamu huu
ReplyDeleteacha u-limbukeni wewe. huyu ni bibi yetu, na hayo ni unayoyaona ndiyo maziwa yake. ukiwa na usongo nenda kwa mama yako.
ReplyDeleteHuyo bi kizee alikuwa mchawi na Nyerere alikuwa hatoki nje bila idhini ya kifimbo maalum aliyopewa na mama yake. Mnakumbuka kifimbo basi kila siku akitoka anakitupa kifimbo kikianguka vibaya hatoki.
ReplyDeleteUkiwa na mama mzee kama huyu akifa utalia kweli?Mimi naona kama kufulu!!!Sasa umri huu hasife unataka aende wapi?
ReplyDeleteNyerere na mkewe Maria walikuwa bahili mno yaani walishindwa kumnunulia huyu bibi hata sidiria ya mtumba manzese afunike hayo matiti ndala? Mama Maria ulishindwa hata kumpa sidiria yako hata kama ni oversize kwake huyo mama mkwe wako mwanga aliyeshikilia kibuyu cha uchawi hapo kitandani!
ReplyDeleteNyerere alirithi sura ya mama yake! Hapo yuko uchi wa nyama ila kajifunika na blanketi ya Mchina. Jamani huyo mama hakutaka kuvaa nguo nin aibu kuona matiti aliyonyonya rais wetu.
ReplyDelete