Home
Unlabelled
masaki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuna Bar maarufu ilikuwa hapo inaitwa Muhalibwa. Naona nayo wameondoa.
ReplyDeleteJe Jacques pamepona?
Ebu ndugu Michuzi tuletee picha tuone.
Michuzi embu tueleze pale sebuleni Jackie's na Didi's pamepona??
ReplyDeletewadau wa jackie's msiwe na wasiwasi sebuleni penu pamesevu, uzuri ni kwamba pako mbali na mipaka ya barabara. hata kwa didi nako bomba, picha nitawaletea.
ReplyDeleteIdd Mubarak!
POA, ASANTE MHESHIMIWA MICHUZI. KWA HABARI KUWA JACKIE'S PAMESEVU MANA TULIZANI NA JACKIE'S IKO NJIANI KATIKA OROZA YA KUBOMOLEWA. KINA ANNA KAHAMA NA GRUPU YAKE SIJUI ANGEFANYAJE? ANNA ALIKUWA ANAPIGA TUNGI HAPA KUANZIA MCHANA. TOOOOP.
ReplyDeleteWaajameni hapa Jackie's kuna waalakini, maana hapaaminiki kuna wizi wa magari na walinzi wenyewe wanahusika, ni bora tu Jackie's ndio ingefungwa. Wateja wa heshima wanapungua kila aliyekutwa na mkasa amesambaza habari za yalowakuta. msiende na kupaki magari yenu au kama hamna pa kwenda basi bora kwenda kwa miguu pakini magari yenu sehemu nyengine.
ReplyDeleteFAFANUENI VIZURI hapa JACKIE'S kweli hapana sifa nzuri tena. LAKINI kuhusu wizi mfafanue vizuri sio wizi wa magari mazima mazima uliokuwepo hapa. HAPA BWANA UKIPAKI GARI LAKO JACKIE'S KUNA WIZI WA KUVUNJA VIOO MADIRISHA NA KUNYAKUWA VITU VYOTE ULIVYOACHA MWENYE GARI LAKO, PAMOJA NA KUNYAKUWA RADIO, NA PIA HATA TAA ZA NJE. NA WALINZI WENYEWE WA HAPA JACKIE'S WANAHUSIKA. Polisi imejaribu kutatua tatizo hili kwa watu walioripoti mikasa hii iliyowakuta kwa kupaki magari yao Jackie's LAKINI HAKUNA MAFANIKIO.
ReplyDelete