wachezaji hatari wa mejik fm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi Jumanne Kabwela nae anajua kulisakata kabumbu? kweli watu wana fani nyingi mjini

    ReplyDelete
  2. Huyu ni JIMMY KABWE,Sio JUMANNE KABWELA!

    ReplyDelete
  3. Jimmy Kabwe!!!.Huyu jamaa ni Mc si mchezo.Nilibahatika kuhudhuria sherehe moja hivi aliyoiongoza ama hakika ilifana sana.Jamaa lugha inapanda.Safi Kabwe.

    ReplyDelete
  4. Jimmy Kabwe ni modification ya Jina lake halisi Jumanne Kabwela!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...