Home
Unlabelled
mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Michuzi.Hii ni wapi na ni lini?Jamani watoto wa hayati Mwl.wanaonekana wamenyong'onyea.Basi tu.Hivi Rose-Mary bado ni mbunge au?Mungu mpe mwanga wa milele hayati mwalimu Nyerere."AMIN"
ReplyDeletemwalimu alisema yeye kama mtanzania wa kawaida na watoto wake wataishi kama watanzania wa kawaida,
ReplyDeletekwakweli julius alikuwa ni kiboko,watoto karibu wote wamesoma shule za tanzania na wanaishi maisha ya kawaida sana kuliko hata watanzania wengi,
kuna mtu aliniambia huyo makongoro wakati anasoma tabora boys alikuwa akisafiri na treni kwenda tabora na kupanda daraja la tatu na kule shule alikuwa akila dona na maharage kama watoto wa walalahoi.