Home
Unlabelled
picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli tongotongo bado tunalo...hii ndiyo Nyamagana Stadium ambayo soka la ligi kuu lilikuwa likichezwa? Najua Pamba FC walikuwa wanatumia Kirumba Stadium, lakini kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna timu nyingine ya Mwanza ilikuwa inatumia Nyamagana Stadium...mmh?
ReplyDeleteNa huku pia wanakaaga kabisa viumbe hai?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteJe semina za kuwapiga msasa wapiga picha ni za kawaida siku hizi?? Ni jambo zuri kujaribu kuwaendeleza vijana na kweli picha ni njia moja wapo ya kujiajiri.
Michuzi tupe dondoo uliwapiga msasa maswala yapi zaidi?? Sababu hata kama unajua kupiga picha bado unatakiwa kujua jinsi ya kuendesha biashara/business.............
Ee bwana eh, Nyamagana hiyo nahisi Michuzi utakuwa ulitoka huko na harufu ya msuba. Vijana (wake kwa waume)wanatumia majani ya bustani nyuma ya hizo ngazi (ukipenda ita viti) kama hawana akili nzuri hivi.
ReplyDeletejamani kwa viwanja hivi ndi tunataka tukuze soka letu? loh kutakucha. Yani mie nilikuwa nafikiri uwanja wa jamhuri kwetu morogoro hovyo, kumbe tuna ahueni
ReplyDelete