mzee wetu rashidi mfaume kawawa akiwa na mtangazaji wa bbc charles hilarly jijini landan hivi karibuni. simba wa vita alikuwa ni mmoja wa maluteni waadilifu wa mwalimu toka wakati wa kudai uhuru na baada ya hapo na hadi sasa busara zake zinaendelea kuchotwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. jamani mimi ningelipenda kujua ELIMU YA HUYU SIMBA WA VITA? alisoma hadi level gani,doctorate ama university level? Nimekuwa namsikia kwa muda mrefu katika ujana wangu lakini sijawahi kujua education level yake kama kuna mwana blog yeyote anaye jua tafadhali nijulishe, I know he was one of the few people ambao Nyerere alikuwa ana wa trust sana nahuyu was on the top list.

    ReplyDelete
  2. Rashi Mfaume Kawawa darasa la 12 tabora Boys Secondary School!

    ReplyDelete
  3. tabora boys ni shule ambayo ilijengwa kwa ajili ya watoto wa machifu,naomba kuuliza,je somba wa vita naye ni mtoto wa chifu?

    ReplyDelete
  4. Zemarcopolo: Tabora skuli ilijengwa kwa ajili ya hao watoto. Lakini si kwa watoto wa machifu tu. Watanganyika wengi sana waliojiweza waliingia, kama Rashid Mfaume Kawawa.

    ReplyDelete
  5. Ile sinema yake ya Mhogo Chungu ilikuwa banned. Kawawa alimaliza darasa la nane ambayo ni form 6 ya sasa.

    ReplyDelete
  6. Chales Hilary aliyekuwa Radio One.Jamaa sasa yu BBC anakula raha.Alipenda kuitwa Chales badala ya Charles.

    ReplyDelete
  7. Ikiwa kuna mantinki, ewe simba, kuwa "darasa la 12 la wakati huo ni sawa na chuo kikuu kwa wakati huu", je, darasa la kunmi na nne la wakati huo ni sawa na digrii ya kwanza? Digrii ya kwanza wakati huo ni sawa na masters? Na masters ya wakati huo ni sawa na PhD? (CHEKA)!

    Kwa kuendeleza kuonyesha kwamba pengine elimu ya zamani ilikuwa bora, kufuzu darasa 14 huko kwetu TZ ni sawa na Associate Degree ya hapa Amerika. Digrii hii hutolewa katika Community Colleges kwa wale ambao hawakufanya vizuri katika darasa la 12 (hapa yaitwa high school) ili wajaribu masomao ya koleji. Wakifanya vizuri baada ya miaka miwili, wanaingia "mainstream" ya koleji za kawaida na kuendelea kwa miaka miwili zaidi kupata digrii ya kwanza. Nimeshuhudia baaadhi ya wanafunzi wa Kitanzania (hapa katika majimbo ya New Jersey na New York) wakiwa koleji wakiwafundisha wanafunzi wengine wa mwaka wa kwanza mahesabu (pure/applied na calculus) ambayo wao waliyafanya wakiwa madarasa ya 13 na 14 nyumbani.

    ReplyDelete
  8. Mbona huyu Charles Hilary anafanana sana usoni na Kawawa? Ni mwanae nini.Haka kababu kana watoto wengi sana.Na wanawake wengi wanakasifu kuwa hakana tabia ya kukataa mtoto hata ukikasingizia sababu ya umalaya wa kupindukia kalioufanya huwa hakajui yupi kalikutana naye wapi.Kwa hiyo ukikaaambia Charles Hilary ni Mwanae katakubali hapohapo pengine ni kweli lisemwalo lipo.

    ReplyDelete
  9. Charles Hillary muulize huyo Babu Kawawa kama siku hizi anaongea na Pius Msekwa.Maana walikuwa wakimgombea Mama Anna Abdallah kila mtu akisema wangu,wangu mpaka wakanuniana wakawa hawaongei baada ya Msekwa kulioa shangingi hilo la kimakonde moja kwa moja ili kumkata kidomodomo kawawa.Toka alipoporwa Anna Abdalla mzee Kawawa alianza kuumwa hadi leo hajapata nafuu.Mapenzi kweli ni hatari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...