Mungu akupe nini, donda? Ah, mambo yako yakiwa tambalale huna lawama ukifurahia. watani wa jadi mlie tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. DRESS CODE YA BABU,SEMA HII INA KOLA ,ILA IMEKAA SHWALI NA MWILI WA JK.HONGELA KWA MBUNIFU WA JK.ZINAPATIKANI WAPI ??KWA KIASI GANI?

    ReplyDelete
  2. MICHUZI NAOMBA UANDIKE SAA KWA KISWAHILI KAMA INAWEZEKANA,MAKE HII INAONYESHA KWA KIZUNGU
    Muandishi: Michuzi Saa: 1:56 AM | Permalink |

    ReplyDelete
  3. wewe malaya katherin unatafuta boro sasa

    ReplyDelete
  4. mhhh kweli kuna watu hawana kazi, haya michuzi fake

    ReplyDelete
  5. Hawa jamaa ni wachapakazi lakini mambo yanayogusa watu wakubwa hawayagusi.

    Mifano
    (i) Ujenzi wa maeneo ya wazi Ostebay, masaki N.K. Inasemekana Lowasa amejenaga maeneo ya wazi
    (ii) Nyumba za serikali zimeuzwa kwa vizito tena wasiostahili. Hata lowasa na Mdowake Magufuli walinunua licha ya kwqmba hawastahili
    (iii) Wala rushwa wakubwa na wakwepa kodi hawaguswi
    (iv)Inasemekana JK anaudini sana

    Mwishoni kabisa Lowasa afanye kazi aachane na vyombo vya habari. Akiendelea hivi hata anapoenda chooni ataita waandishi wa habari wamrekodi anvyofanya majambo.

    Thanks

    ReplyDelete
  6. Kikwete Saafi sana lakini kaa chonjo na huyo Lowasa tunatarajia hatakuwa kama Sumaye.Madhambi yake ya nyuma tunatarajia katubu,kaokoka na hatayarudia.Ila mchunge kwa karibu pamoja na kuwa ni rafiki yako akipata mwanya atakuliza.Anapenda pesa sana huyo hata zile za Rushwa nyuma ya Mlango wa Ikulu.Anyway hiyo ni tabia yake ya zamani sasa tuamini kabadilika na anasali sana Azania na anaweza chaguliwa kuwa Papa kama Roma wataruhusu mapapa waongeao kimasai nao wapewe nafasi badala ya waongea kilatini peke yao.

    ReplyDelete
  7. MIMI NINGEPENDEKEZA RAIS ACHAGUE MWISLAMU MWENZAKE KUWA WAZIRI MKUU KAMA MKAPA ALIVYO FANYA KWA SUMAYE. HUYU JAMAA NI MKRISTU TUNGEONGEZEWA IDADI YA WAISLAMU ILI TUWE SAWA NA HAWA JAMMA ZETU WALIOPENDELEWA SAAANAA NA UTAWALA WA AWAMU YA KWANZA NA YA TATU.TUNA WASOMI WENGI TU SASA HIVI KUWEZA KUCHAPA KAZI

    ReplyDelete
  8. Dunia ya sasa kigezo ni uwezo.siyo dini.Ukitafuta kuli wa kubeba mzigo bandarini huulizi wewe dini gani unaangalia uwezo tu wa kumudu kujitwika mizigo.Inaonyesha mtoa maoni hapo juu unaishi enzi za karne ya mawe!!Raisi Kikwete alichaguliwa si kwa sababu ni muislamu bali kwa sababu ya uwezo wake siyo wa kiuongozi hasa bali Usafi wa kutopenda rushwa.Watu walimchagua sababu ya kuamini ni mtu safi asiye mla Rushwa.Uwezo wa kiuongozi watu walikuwa hawaujui sababu alikuwa wizara ambayo ilikuwa haiwagusi watu moja kwa moja.Ukijaza masheikh na Maimamu na waswahiliana kwenye serikali utaishia kujaza watu ambao kazi yao ni kusoma Alubadiri kwa wabaya wao,kujenga misikiti au visehemu vya kusalia maofisini na kuweka miswala ya kuswalia kila kona maofisini badala ya kufanya kazi.Watu ambao kazi yao ni kusoma kurani,kusikiliza aya za kiilamu kwenye kanda za radio,kuhimiza tamaduni za kidini maofisini kama hijabu,kutumia makopo ya kutawazia vyooni badala ya toilet papers n.k na kuanzisha kitu kinachoitwa ujamaa wa kiislamu au tudola tudogo twa kiislamu maofisini ambapo kuna vikundi ambapo wasio waislamu wanakuwa watu wakuja makafiri wasiotakiwa kupewa fursa sana, badala ya kuhimiza kushughulikia utendaji wa kazi za kuletea maendeleo wananchi waliowaweka.Zama hizi zinataka wachapa kazi tu.Ukishindwa kazi usiseme umeshindwa sababu ya dini.Ukiweza kazi usiseme umeweza sababu ya dini.Kazi Raisi Kikwete ikimshinda haitakuwa ni kwa sababu hana waislamu wengi kwenye serikali bali ni kwa sababu kazungukwa na watu ambao sio sahihi kwa utendaji kazi.Na ni vibaya kudhani ukizungukwa na watu wa dini yako peke yake unaweza fanya vizuri.Siyo kweli.Sababu nchi hii ina watu wa ajabu sana.Ukienda ukanda wa Pwani utaambiwa asilimia 99 ni waislamu lakini cha ajabu ndio kuna wala nguruwe mwitu wengi na walevi wengi vitu vilivyopigwa marufuku kwenye uislamu.Watu wengi nchi hii ni maopportunist wakiona Mkristo kashika madaraka maopportunist vibaka huanza kupiga debe chagua serikali jaza wakristo.Mwislamu akichaguliwa maopportunist vibaka huanza kupiga debe! Dawa yake ni lazima mtawala aamue kuwa atachagua kufuatana na uwezo tu basi.Aache porojo.

    ReplyDelete
  9. sasa watanzania walio na akili za kawaida wanaacha kuzungumzia maendeleo wanarudi kwenye dini. Narudia kusema tuna safari ndefu sana.

    ReplyDelete
  10. WE HASHEEM NDOTO, HUU NI MWAKA GANI KWA KIISLAM?
    NA MWAKA GANI KWA KIIKRISTO?
    KWA NINI MSIFUATE CALENDER YENU INTERNATIONAL?
    NANI ANATAKA KUISHI KARNE CHUNGU NZIMA NYUMA?
    MNAJUA TUNATESEKA SABABU YA WATU WANAOISHI KWA HIYO MIAKA HAPA DUNIANI NA KUWAKOLONI WENGINE KAMA NYIE SASA HAMKO CIVILIZE?
    KWA NINI UNAANDIKA KWA ALFABETI HAPA USIANDIKE KIKWENU KIISLAM?
    MNATAKA BONGO WOTE TUTAWALIWE NA WAISLAAM TUWE KAMA SOMALI AU ZANZIBAR?
    MOOVE YOUR ASS AND GO AND SEE THE WORLD...OK?
    AU UNATAKA NIKUTUMIE ZILE 12 CARTOON KUHUSU MUNGU WENU NA MAELEZO YAKE KAMA NA WEWE UKWELI HAUJAKUCHOMA. MLIPAYUKA DUNIA NZIMA MWISHONI MLITUFANYA NINI WADENGA? MBONA TULIWAAMBIA ANAYEKEREKWA ARUDI KWAO, MLIOMBA MSAMAHA WENYEWE, BADALA YA KUTAKA ETI QUEEN WETU AOMBE MSAMAHA, MLIMUONA KAOMBA MSAMAHA?
    NA MLIFANYA NINI? YOUR VOICE IS LOW BABE.
    USILETE MAMBO YA UDINI WATANZANI AHATUKO HIVYO....OK?

    ReplyDelete
  11. Huyo anaye jiita Hasheem hapo juu hajatulia, tuendelee na mjadala wetu. Lowassa anatafuta umaarufu ndiyo maana anawaita wanahabari kila aendako. Na awaite wapiga picha anapokula rushwa. Inabidi tumuangalie kwa makini ili asituibie tena. Enough is enough Ed.

    ReplyDelete
  12. lowassa hana noma alikuwa tajiri hata kabla ya kuukwaa u pm tofauti na sumaye.
    na hivyo mtoto wake naye anaendesha mabiashara ya family kama hana akili nzuri ,alafu watoto wake hawana makeke sana kama wa wakubwa wengine.
    sema huyu wa kike anayeolewa december amebanana na mchumba mpaka ile ama zangu ama zako.kweli hapa mjini ni kubanana.
    ila wana hela sio mchezo hata kidogoooo,

    ReplyDelete
  13. yap nampata huyo msichana anaitwa pamela na mchumba wake ni mtoto wa naibu waziri sumari solomon anaitwa sioi,
    itakuwa bonge la wedding manake hawa nao ni macelebrity wa hapa town. kweli jamaa alibanwa akasema anaoa bila kupenda.

    ReplyDelete
  14. mhhh jamani wewe hapo juu umeshaanza umbeya.hamna mtu analazimishwa kuoa jamani, ni mapenzi tu, mtoto mwenyewe ana kiuna kama cha mamake regina ,she is so hot

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...