mkuu wa mkoa wa dar abdallah kandoro a.k.a 'kiboko ya machinga' (kati) na mkuu wa wilaya ya ilala peter tsere wakimpongeza rais wa tff ledga chilla tenga kwa kazi nzuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka Michuzi nina omba upost picha ya huyu ndugu yetu KAJUMULO yuko wapi siku hizi....Tunaomba picha zake kaka MICHUZI!!

    ReplyDelete
  2. MIMI NINGEPENDEKEZA MWENYEKITI WA KUONGOZA TAIFA STARS AWE JACK PEMBA MAANA ANAUZOWEFU NA KIPAJI KIKUBWA CHA MICHEZO NA NI MTU MWENYE NIA NA ARI KUBWA KATIKA MICHEZO SASA JAMANI TUJARIBU KUMFAGILIA JACK PEMBA AWE KIONGOZI WETU KWENYE TIMU YA TAIFA MNASEMAJE WAUNGWANA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...