taifa staaz ilipocheza na bukinafaso neshno mambo yalikuwa hivi. he, sijui leo itakuwaje huko msumbiji...kuna wazo ati staaz iitwe 'simba wa serengeti' mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. kwa nini kila kitu kibadirishwe majina ?? sasa mtasikia mtibwa nayo inaitwa nyerere fc !

    ReplyDelete
  2. kwa nini kila kitu kibadirishwe majina ?? sasa mtasikia mtibwa nayo inaitwa nyerere fc ! wewe michuzi hujalala tu huko bongo hadi sasa hivi ??

    ReplyDelete
  3. Bolocks !
    Taifa Stars is good enough, Moroco wanajiita Simba wa Atlas not long na Kenya watajiita Simba wa Tsavo !

    ReplyDelete
  4. Burkina Faso, tuliowapiga bao, wameifunga Senegal.....

    ReplyDelete
  5. Dakika za kwanza, kwanza MACHAVA STADIUM, bado zero zero, But Vijana wa kikwete wanacheza kwa uelewano wa hali ya juu.

    ReplyDelete
  6. ngoma droo

    ReplyDelete
  7. Michuzi ni kweli mimi nakubaliana na mpango wakubadilisha jina maana ati tunawaita Stars lakini kila siku nikushindwa tu sasa hao ni Stars gani? Nyota wachovu hivyo?

    ReplyDelete
  8. Hakuna haja ya kubadilisha jina. Taifa Stars ni jina zuri na lina historia nzuri sana kwa nchi yetu. Linatosha.

    ReplyDelete
  9. Naona Wabongo wamechoka kuzishangilia Liverpool na Man Utd. Wanataka nao wawe wanakaa kideoni wakiona wabongo wenzao wanazungusha kiwanja. Anyway wakati umefika.

    ReplyDelete
  10. kama timu itaitwa SIMBA WA SERENGETI basi jezi ya timu ya Taifa iwe rangi ya Njano.

    ReplyDelete
  11. SERENGETI LIONS.....SIMBA WA SERENGETI....Serengeti ni mojawapo wa mbuga kubwa kabisa za wanyama duniani, na ni mojawapo ya vivutio vikubwa kabisa vya utalii hapa nchini...kama timu itafanya vizuri litakuwa ni utambulisho mzuri kwa timu ya taifa.

    ReplyDelete
  12. Serengeti lions.....suala la rangi mostly it depends on national flag colors. Ni jina lenye maana zaidi kuliko Taifa Stars...National Stars??? Any Nation could have their own stars...Serengeti Lions..huitaji hata kutaja jina la nchi..Dunia nzima wanajua Serengeti ipo Tanzania, kwa hiyo hata kiuchumi itatusaidia sana....it all depends on team perfomance as well.

    ReplyDelete
  13. TAIFA STARS ilikuwa ni kichwa cha mwendawazimu, sasa tuna timu yenye mwelekeo na mtizamo mpya, ni timu yenye malengo ya kufanya vizuri na tumeona mwanzo wake umekuwa mzuri. Nadhani ni vizuri tukabadilisha jina ili kuondoa nightmare ya kichwa cha mwendawazimu.Serengeti lions linaweza kuwa utambulisho mzuri.

    ReplyDelete
  14. Nakubaliana na anony mmojas kuwa Taifa Stars ilkuwa kichwa cha mwehu, kuna haja ya kubadilisha jina lakini sio Serengeti Lions, haswa ilo neno SIMBA, sio muda mrefu kutokana na itikadi za jadi zinazofahamika very soon italeta mzozo na mgawanyiko, hilo neno LION lisiwepo naamini serengeti kuan wanyama wengi tu wakali zaidi ya simba, halafu timu nyingi za africa nazo ni simba its time for a change, Indomitable lions(cameroon) lions of tiranga (senegal) atlas, na kadhaa,qama sivyo tutarudi kule kule watu kushabikia timu ya taifa kutokana na SIMBA NA YANGA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...