Home
Unlabelled
wachezaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
INABIDI STAAZ WAAJIRI WAPAMBE WA KUBEBA MABEGI.PIA WAJIFUNZE KUVAA VIATU KWANI PICHA KAMA HIZI ZINAANGALIWA NA WATU WA MATAIFA MBALIMBALI.
ReplyDeleteWe fala hujui unaongea nini. Wacheza ndio wanavyosafilli. Angalia hata Ulaya. Au unadhani kama wewe ukisafili sharti ujukwide Tai na suti. Kaa kimya kama hujui mambo. Taarab bado inahitaji washabiki.
ReplyDeleteMie kwanaz ninapenda kuwapongeaza Vijana Stars kwa kazi nzuri sana. Hii inaonyesha kwamba penye nia pana mafanikio. Tangu iongozi wa michezo na raisi mwenyewe waanze kutilia mkazo mambo ya soka sasa mafanikio yameanza kuonekana.Tunachoitaji ni ushindi tu. Mambo ya kuvaa, sijui viatu ni mambo madogo sana.
ReplyDeleteMpenda-Soccer la Tanzania!
MIMI NINGEPENDEKEZA MWENYEKITI WA KUONGOZA TAIFA STARS AWE JACK PEMBA MAANA ANAUZOWEFU NA KIPAJI KIKUBWA CHA MICHEZO NA NI MTU MWENYE NIA NA ARI KUBWA KATIKA MICHEZO SASA JAMANI TUJARIBU KUMFAGILIA JACK PEMBA AWE KIONGOZI WETU KWENYE TIMU YA TAIFA MNASEMAJE WAUNGWANA?
ReplyDeletei think Victor Costa played so well in that match,his confidence and ability are so great,keep it up man the future loooks great for u.
ReplyDeletejamani aliyecheza vizuri sana ni ivo mapunda.hongera sana goal keeper
ReplyDeleteKWA UJUMLA TIMU NZIMA ILIJITAHIDI ILA JITIHADA ZA PEKEE ZIMWENDEE IVO MAPUNDA.
ReplyDeleteHuyu wa katikati ni nani?? mwenye short dreadz....Kaka nimekuzimia...we Gaudence au Victor...mmh
ReplyDeletehuyu kaka wa nyuma au wa pili au wa kulia mwenye dreadz ni nani...mbona nimekufa kiroho....Bro i have fallen for you....any contacts???
ReplyDeletecccc test
ReplyDeleteno ana dreads or hajachana nywele?
ReplyDeleteUkimbia DUME ni hiyo KAKA...yani jamani mimi hoi...alafu inaonyesha ni mrefu pia...nasio height yake tu. Kama mwaelewa nasema nini..mwenye contacts zake...hook me up.
ReplyDeleteA Sista in Jersey.
huyo ndio Gaudence Mwaikimba aka
ReplyDelete"Crouch",mshambuliaji hatari na tegemezi wa timu ya Yanga.
Mcheki kupitia anwani za club ya yanga au wasiliana na TFF wanaweza kupa namba yake.
huyo ndio Gaudence Mwaikimba, aka "Peter Crouch",mshambuliaji hatari na tegemezi wa timu ya Yanga.
ReplyDeleteLabda umtafute kupitia namba za simu za TFF labda wakuu wanaweza kupa namba yake ya mkononi.
Tumefarijika sana na timu yetu ya taifa mpaka hapa walipofikia.Nina mawili ya kuchangia:
ReplyDeleteKwanza huyu kocha tuliyempata (Maximo) ingefaa awe Coach wa timu ya vijana..I mean angezunguka Tanzania nzima kutafuta vipaji vya vijana wenye umri wa miaka 14-16 ,akawaweka kwenye a certain Academy ,then angekaa nao for 4-5 years akiwafundisha soka na kuwajenga kisaikolojia ili wawe proffesional players.Nina imani kwa mkakati huo timu yetu inaweza kucheza kombe la dunia bila matatizo..Ndivyo hivyo ilivyofanyika kwa nchi kama Japan,Korea ,India etc ...hizi nchi nilizozitaji miaka kama 15-20 iliyopita walikuwa hawajui hata kupiga danadana.Timu aliyokuwa nayo kwa sasa ni timu ya wachezzaji wasiokuwa na future ya muda mrefu.
Pili:Tunaihitaji kuifanyia branding team yetu ya Taifa.Jina wanalotumia kwa sasa la "Taifa Stars" sio kuitangaza Tanzania,bali tunaitangaza sabuni ya kiwanda fulani cha watu fulani.
Ni bora badala ya kuita Taifa Stars ,tukaita "The Kilimanjaro" hii itatusaidia hata kwa watalii wetu kujua ala kumbe mlima kilimanjaro uko Tanzania, na sio Kenya kama inavyozungumziwa.Sio tu kuiita The Kilimanjaro tunaweza kubuni majina mengine mazuri ambayo yanaweza kuitangaza Tanzania kibiashara.

msumbiji 0 v/s ivo mapunda 0 watu wamepewa maua!!!! Je wakishinda mtawapa nini?
ReplyDeleteNdugu........... Anony Thursday, October 12, 2006 10:14:30 AM,.......mbona ahsante sana..ngoja nianze kuwa solicit hizo Clubs..labda nitapoza roho yangu ...i hope yupo single huyu...
ReplyDeleteA Sista in Jersey