mbunge wa mchinga mh. mudhihir mohamed mudhihir na mbunge wa viti maalumu (chadema) mhonga ruhwanya walikuwemo kwenye msafara wa jk marekani. hapa wapo boston

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. eeh serikali imehamia usa jamani nani amepbaki home mwee!!!

    ReplyDelete
  2. Big ups, anony hapo juu. Kweli maendeleo ni wewe na mkeo nothing like collective development. Kikwete hana lolote ni wale wale

    ReplyDelete
  3. Mafara wa JK umejaa waislam na washikaji wake including wewe michuzi,umependelewa tu.
    Dr ishengoma.

    ReplyDelete
  4. Lakini Dr Ishengoma na nyie wahaya mnazo sana hizo za kujipendelea.

    ReplyDelete
  5. We fala unaejiita DR. acha kulopoka kama sakala. Meshasahau enzizenu aaah mkuki kwa nguruwe mchungu. Unataka kuniambia umesahau enziie nusu nzima ya baraza la mawaziri na makatibu wao WAHAYA. ???? Haya si hatukusema nyie semeni. Advice; We Tanzania, are far away from what you people thinkin'! People don't even care what religion or tribe you're coming from. They only need your brain and at least your effort in this changes we are goin'through.Nevertheless, we gave you (Wahaya) a chance for what we had believed that you were a little bit an educated but you started to build in UHAYARISM. So we will follow what JK. Nyerere left us " This country will never,never,never,never be under President Mhaya". If you have been touched by this comment , please just seat down and ask yourselves "What wrong with us" and "What's wrong have we don to our fellow Tanzanian". Once you figure out, you will be welcomed back again in beautfull Tanzanian society. Think before you comment Dr.Ishengoma or just go back to school to educate yourself a lit' bit more. GOOD LUCK!!

    ReplyDelete
  6. Ina maana kama Raisi angekuwa KIngunge Ngombare Mwiru na sisi wapagani tungependelewa kwenye hii serekali?

    ReplyDelete
  7. Kwa kweli wahaya mna majivuno sana,mna jipendelea na ni wabaguzi,mkisoma kidogo ndo mnajiona kila kitu.Angalieni msituharibie jamii ya watanzania,pia wanawake wenu ni malaya sana wanagawa kama njugu,natumaini pia na wanaume ndo zao pia.Hivyo wewe dr.Ishengoma acha huo upumbavu wa kihaya kutuletea hapa,maana pia ni walalamishi sana mkiwekwa pembeni nyie wapanda meli.Kanisani nako mmejaa mnaendeleza huo ubaguzi stop!actually mnachukiza.

    ReplyDelete
  8. Ama kweli seerikali ya TZ ina hela! Watu wangapi walikuwa kwenye huo msafara! Huko nyumbani watu wanakosa aspirin na vidonge vya malaria!

    ReplyDelete
  9. nasikia watu karibu ya mia moja walikua kwenye huo msafara wa rais, ndio maana nchi zetu haziendelei maana hata hapa tukilalamika viongozi wetu ni walewale hawasikii kbs maana ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

    ReplyDelete
  10. Mengi mmesema hapo juu, lakini kubwa ni dini, JAMANI NCHI NI YETU MIMI NA WEWE MWENYE IMANI YA... SASA WALE WASIO NA IMANI WASEMEJE? let us stop discussing this reliogious issue plz!!!!!!!!!!!!
    Naomba kusaidia na waugwaba nyinyi katika hili, mimi binafsi nilichoona kwa muheshimiwa kikwete katika serikari yake kajaza watu wasio kuwa na dhamira ya kweli ya kuwaondiolewa watu umasikini. nitatoa mifano kidogi.
    ELIMU
    Katika sector ya Elimu amejaza watu wenye uwezo mdogo wa kujua nini mahaitaji harisi ya Watanzania katika Elimu. i.e. Wizara zote mbili. Sijasikia mpka sasa wanmpngo gani katika kuhakikisha elimu inamsaidia mdanganyika(Mwananchi)
    husika.
    ULINZI
    Kama kwaida Wizara zote bado hazijatoa muelekezo wa kutenda kazi kifanisi mpaka sasa, zaidi zinaomba mafungu makubwa ya matumizi bila kutanabaisha mikakati waliyonayo.

    KILIMO
    Huku kapewa yule chizi alitaka kupeleka Elumu kusikofaa, akageuza shule zote kwao kuwa za Serikari na kutoa ajira kwa walimu wake bila hata 'Interview' kamailivokuwa kwa wengine, nahofia mbolea za wakulima zitapelekwa IR kwa wingi bila kujali mahitaji.

    Kikubwa ni kwanini serikari ya MH JK imejaa watu wa Usalama wa Taifa kuliko wataalam wa maendeleo?

    Sihitaji matusi, jibu lile kile ukijuacho ujinga niachie. KIJU

    ReplyDelete
  11. Samahani kwa kukosea maneno hapo juu, najifunza kutumia computer jamani!!!!!
    KIJU

    ReplyDelete
  12. jamani michuzi mwambie huyo JK atulize makalio yake tanzania, anafanya ziara za nje kila siku !! yaani tokea january mpaka september amefanya ziara 25, kumaanisha ziara 2 za nje kila mwezi na zinabaki kama 8-9, huyu jamaa rais kweli ana akili gani, halafu hata mikoa yote hajamaliza kupitia tokea achaguliwe, mara ya mwisho ni alipoenda kuomba kura tu, ama kweli huyu jamaa kichaka tu ! uozo wake ushaanza kuonekana !! skendo kibao, na ujinga mwingine utanifanya nipange assasination attempt kwa ccm nzima maana jamaa wajinga kweli !!

    ReplyDelete
  13. Mwacheni mzee wa Mchinga, kasota jamani katika kulitafutia amani taifa hili akiwa Principal pale chuo cha wananii........Usalama wa Wadanganyika......karibu na Makumbusho K'nyama. Wache ale na Mshikaji ili lawama ziwe zao wote. Msihofu ndugu zanguni atasafiri na wanamtandao wote mpaka waishe.

    Huu ndio utawala wa hawa mnaowaita BOYZ II MEN akimaliza JK zamu ya LOWASA!

    ReplyDelete
  14. Tupange assasination attempt kwa ccm nzima.

    ReplyDelete
  15. Mudhihir na huyo Msichana wana manufaa gani kwa TAIFA?Nadhani akina Mkapa wasikae kimya wamuonye huyo JK kuhusu matumizi mabaya ya Pesa za Umma, Mrema uko wapi mbona unakaa kimya hata Husemi juu ya hili. Hapana, JK anatumia vibaya madaraka, hata kama ni msafara lakini si jinsi hii, tutegemee siku moja kuona BUNGE NZIMA LINAENDA ZIARA, HAYA NI MATUMIZI MABAY YA PESA ZETU.

    ReplyDelete
  16. Tanzania si tajiri kama VATICAN ambako PAPA aliyepita alifanya ziara karibu dunia nzima. Nchi tajiri kama Marekani viongozi wake hawafanyi ziara kama huyu JK. Hivyo jamani mabalozi hawatoshi kufanya yote hayo mpaka aende na misafara mikubwa kiasi hicho?Mudhihir wizara imemshinda sasa mnampeleka huko, Sasa tunaanza kuona afadhali serikali iliyopita ilikuwa inafanya ziara zenye akili kuliko hii, nadhani itaongoza kwa kufanya yasiyo na maana kwa taigfa.

    ReplyDelete
  17. Mimi nikiangalia hiyo picha hapo juu ninagundua kuwa wote walikuwa kwenye msafara hawakujua wamekwenda kufanya nini. Lakini nikiwaona hapo walikuwa wanatalii tu basi.

    Mzee wa kasi naweza tabiri ndege iliyojaa abiria inaweza isiruke kabisa. Ikabaki kwenye maandalizi mpaka muda ukaisha.

    Wazee tanzania tutaendelea tu tukiweza kuondoa CCM madarakani. Hawa wote wachovu kabisa. JK ndiye alitoa uhai kidogo lakini naye naona anaelekea huko huko.

    Hivi hakuna vijana kweli wakasaidia hawa wazee? wazee wamebakia kutanua tu wameisha lidhika jamani.

    ReplyDelete
  18. Nyie waacheni vilio vya watanzania ni vingi na mungu kwa hasira siku moja ataamuwa kuwateketeza wote kwenye mindege wanayopanda kwenda kwenye ziara sisizo na manufaa kwa nchi,pumbavu

    ReplyDelete
  19. Nyie hamjui huyo mudhihir na huyo dada wanatiana sasa hapo wamejifanya kuachana kidogo baada ya kuona michuzi anawapiga picha

    ReplyDelete
  20. Wabongo sasa inabidi tuwe tunachagua rais aliekuwa tajiri before politics,kama wenzetu marekani hawa marais waliokulia umaskini matokeo yake ndio hayo hela za serikali zinawachanganya,vipi kama tungupendekeza kina mengi ,Dewji nk

    ReplyDelete
  21. Nakiona Kisiki cha Mpingo kinadunda na ama hakika wenye shoka wameshindwa.Huyo ndo rafiki yangu Mudhihiri Mudhihiri(mbunge).Jamaa anapenda sana utani na pia ni mcheshi ila katika ziara hii ya Jk bado sijajua nafasi yake ilikuwa ni ipi hasa.Michuzi naomba unisaidie.

    ReplyDelete
  22. hii inaonyesha kama watu waliona kitrip cha kujinoma kila mtu na mie na mie huku hawanendi kufanya lolote aliyehitajika ni JK tu na walinzi wake hao wengine mhhhhh kujitafutiza visafari. Hii ni tosha wanaonyesha jinsi wanavyofaidi ukwia ndani ya serikali kila mtu anajivutia wkake before 5a years to come!!! nimeshanga sana watu lukuku wameongozana duuuuuu

    ReplyDelete
  23. Naombeni nyie mnaolalalmika serikali imehamia marekani na kulipia watu zaidi ya 100 tiketi za kuja marekani, muache usaniii! Kama hamuelewi ulizeni. Wawekezaji wote walikuja na majina ya kampuni zao kwahiyo cost zote ziliingia kwenye kampuni binafsi. Waliokuja kwa pesa ya serikali, ni hao mawaziri, watu wa wizara ya mambo ya nchi za nje ndio waliolipiwa na serikali, na sio wengi hao waheshimiwa. Acheni Longolongo wabongo.

    ReplyDelete
  24. kaka makene!

    ni kwamba ziara ya rais huwa ina wajumbe kadhaa toka chama tawala na pia cha upinzani. na kama alivyosema nanihii wa nanihii hapo juu, msafara wa rais ulikuwa mdogo tu na wafanyabiashara wote 50 alioongozana nao walijilipia wenyewe kila kitu. leo jk alipoomgea na wahariri alithibitisha kuwa wote waliojitolea kuongozana naye wamefaidika kwa kuweka mikataba aidha ya ubia ama uwekezaji. pia kuna waliopata tenda nono.

    ReplyDelete
  25. ok, tumekuelewa michuzi na wewe ulikuja kufanya nini ?? au na wewe ni mfanyabiashara ulikuja kuwekeza ? je ulifaidika na nini ? kwani hao wafanyabiashara lazima waje pamoja na JK ? si wangekuja tu wenyewe kabla au baada ya JK kuja !! michuzi acha zako mzee, nyie wote mmelipiwa nauli na kila kitu. Sasa kama akisema JK kwamba hao wafanyabiashara walijilipia wenyewe itasaidia nini ? ukweli unabaki pale pale, hata kama mie ningekuwa kwenye safari na nimelipiwa, ningesema nimelipa mwenyewe !! yaani wewe michuzi acha hizo kabisa, ulituonyesha chumba ulichopanga, halafu leo hii useme umejilipia mwenyewe safari yako unataka nikuelewe vipi ??wewe kula tu vya bure sasa hivi, lakini assasination attempt inakuja kwa nyie wote mnaoiba mali za umma pamoja na ccm !! tutawaangusha kwa muda mchache sana angalau nyie mlitumia miaka kibao kuijenga ccm yenu !!

    ReplyDelete
  26. Hili wafanya biashara waweze tambulika ni vizuri wakitoka na mheshimiwa rais inakuwa raisi kuamini wakati watu wanasaini mikataba muhimu.

    Nafikiri kun kitu kimoja hatukijui watanzania nacho ni kwamba nchi yetu haifahamiki leo hii marekani, ulaya, Australia usishangae mtu anakuuliza kuwa hivi ktk upande wa Africa tanzania iko wapi?

    Hili suala ni baya sana especially wakati unasaini mkataba wakati mtu hajui unakotoka. Hivyo akiwepo mheshimiwa rais inakuwa ni rais kuamini. Leo hii watu watashangaa kenya wako mbali na wawekezaji kibao pamoja na kutokuwa na usalama utakuta wanakimbilia huko. Uliza marekani, south africa, Ulaya, Australia mtu ambaye hajui kenya.

    Kwa hiyo lazima tukumbuke sisi bado tuna safari ndefu sana na hii ni ya kihistoria, kuwa wakati watu walipobadilisha muelekeo sisi hatukuona mapema tukabakia na direction tofauti na wenzetu kwa hiyo pia tunaitaji muda, ubunifu wa hali ya juu kuweza kuwafikia mojawapo ni ule wa mguu kwa mguu kila nchi tunayofikiria ni muhimu katika uchumi wetu.

    Leo hii kuna watu nikiwaambia nchi kama kenya pamoja na kutokuwa na rasilimali tuko nyuma yake miaka 25 kuna wasioweza kuliona lakini huo ni ukweli usiofichika. Ndio maana kwa watanzania tunahitaji mtu wa kusema hata tupunguze sikukuu, masaa ya kulala hili tuweze kufanya compasation ya mahali tulipoangukia.

    Ukitaka kujua mahali tulipoangukia, ni mfumo mzima tuliokuwa tunautumia ambao tena mpaka sasa tunaubadili kidogo kwa kasi ndogo sana.

    ReplyDelete
  27. Michuzi umejibu kisiasa sana, nadhani kama mwana habari ambaye unatakiwa uwe huru ungechanganua jambio hili. Kama wamejilipia wenyewe kwanini wasingeeedna mapema kufanya mambo hayo mpaka waje na raisi huku! Mimi nataka kuwa wazi katika hili, misafara ya rais haitakiwi kuwa jinsi hii, inatoa picha mbaya, Clinton ama Bush anapfanya hivyo inaeleweka lakini si vinginevyo, sasa naomba muache siasa tuelezeni ni mikataba mingapi imesainiwa na itatoa faida zipi kiuchumi kama si katika hao mnaowaita wafanya biasahara, hivyo kuna mzalendo wa kumzidi Mzee Kishimba ama Mengi! mbona sikuwaona hawa.Achane siasa, leteni siasa za Uchumi na siyio za kiwendawazimu.

    ReplyDelete
  28. MUDHIHIR alienda Marekani kama mwekezaji jamani.Hamjui kuwa ana bendi ya mchinga sound.Alienda kuingia mikataba na wanenguaji.Huwezi jua muda si mrefu utaona wanenguaji viuno kibao wakija.Na Raisi wetu ni mchumi mzuri tu anayejua umuhimu wa sekta ya kunengua viuno katika uchumi.Na yeye mpenzi mkuu mno wa sekta hiyo na ndiyo maana hakuona haya kuongozana na Mudhihir na huyo mama wa Chadema ambaye siri yake ya kuwa mbunge wa viti maalumu anaijua Mbowe peke yake na umalaya wake!!!

    ReplyDelete
  29. Wee anony wa 8:34 acha kutuletea maneno ya kukariri hapa. Kwani Tanzania kujulikana ndio nini? Watu wanaweza wasijue nchi kutokana na mitala ya elimu zao, mathalani labda jiografia yao haisisitizi mambo ya nchi zaidi ya mazingira. Wewe hapo tukikuuliza Papua New Guinea utakimbilia kwenye internet kwanza ndio uje kutuambia. Tukikuuliza Bolivia iko upande gani utaanza kumwayawaya.
    Kujaza watu kwenye misafara ya raisi hakutafanya Tanzania ijulikane bali tunatakiwa kuboresha elimu yetu nakutoa wataalamu waliobobea, tunahitaji kuzalisha na kukamata soko la bidhaa fulani, tunahitaji kukuza vipaji vyetu kwenye michezo mbalimbali nakuwa na timu za ushindi, siyo kubebeba kundi la wakwepa kodi na wafadhili wa kampeni za CCM nakujidai eti mnatafuta ubia.

    ReplyDelete
  30. Anony wa 6:30PM mimi siwezi jibizana nawewe make niliposoma mawazo yako nimefanya modeling ya upeo wako nikagundua bado kama ni timu za mpira basi unachezea mchangani.

    Sina cha kukujibu hila kama hayo ndiyo mawazo na ndio wataalamu tunawategemea nafikiri bado tuna safari ndefu mno.

    Kuna chama cha siasa nasikia kinaanzishwa tanzania lakini naona ukitia timu utaambulia ukatibu wenezi wa kitongoji.

    ReplyDelete
  31. kama kweli raisi kutembea na watu wengi katika misafara yake inasaidia tz kujulikana, kwanini basi asiwachukue watanzania wote next time ili aje nao huku ili wajulikane wote !! acheni mambo yenu hapa !!

    ReplyDelete
  32. Wewe anony wa October 03, 2006 8:52 PM kama upumbavu na ujinga una mshindi, mwenzetu umechukua JACKPOT! Hongera.

    ReplyDelete
  33. We anony wa &:02 hunambia chochocte. Ati upeo, mara modeling. Huna lakujibu sababu huo ndio ukweli halisi. Wakati wenzenu wanafikiria kufanya utafiti anga za mbali, nyie mnafikiria kualika timu ya Real Madrid. Wakati wenzenu wanakusudia kuwa na wahitimu 50,000 kwa mwaka nyie mnapunguza wanaoingia vyuoni hadi 1000 kwa mwaka, halafu unatuambia eti nchi ijulikane. Ni wazi itajulikana kwa kuwa taifa la wajinga, kama ambavyo sasa inajulikana kama nchi maskini zaidi duniani kasoro moja.

    ReplyDelete
  34. Raisi Kikwete watoto wa kijiweni wanamwita VASCO DA GAMA kwa jinsi anavyopenda safari hizo lazima aambatane na vimwana kama huyo wa Chadema lakini huyo kimwana achunge Asha Rose Migiro akijua atakuua

    ReplyDelete
  35. Anony wa 12:13 tatizo lako nakushangaa kidogo soma mawazo niliyotoa 8:34AM halafu ndio hujibu. Nimekwambia tuko nyuma sana nikatoa mfano wa nchi kama kenya. Katika mawazo yako yote unalalama tu na unatoa mawazo mepesi mno mpaka nashindwa kukujibu. Unasema internet, tena ndipo nazidi kukushangaa sana.

    Mawazo unayonipa ni kama wale wazee wa kijijini ambao wamezoea kunywa gongo(unayoweza kuwasha moto ukawaka) wewe unawaletea bia ya 2.5%alcoholic. Mimi bahati nzuri huwa nafanya mesuarements na imaginations ndio maana nikakwambia nimefanya modeling ukitoa concrete point/critics nitakusifu palepale na ndizo zinahitajika. Mimi simutetei mtu yeyote hila tunaangali ukweli wa mambo, na utakosea sana kama utaangalia upande mmoja tu bila kuweka fikra upande mwingine. Mimi leo hii naweza kukupongeza kesho nikakwambia umechemusha.

    Labda ngoja niendelee kukuelimisha make mimi huwa kazi zangu ni pamoja na kuwaelimisha watu mbali mbali. Hivyo naomba angalau kiduchu nikwambie nilikuwa na maana gani hapo juu.

    Kwanza nafikiri ungejaribu kusoma vizuri ukaangalia nimesema nini tungeelewana. Wewe umerukia tu ziara kwenye maelezo yangu.

    Moja ni kwamba uchumi wa nchi husika huwa unareflect kiwango cha elimu ya watu husika angalia nchi zote ziizopiga hatua ktk maendeleo nafikiri hatutakuta nchi hata moja ambayo haijaendelea kielimu. Nimeongelea kenya kuwa mbele yetu miaka 25 nikikumbuka kabla sijazaliwa miaka ya 1969/70 Mzee Jommo kenyata aliona dunia ilivyokuwa inakwenda akaona wakenya wasingeweza kuendelea kugalimia elimu akawaelekeza waanzishe suala la mikopo na waweke utaratibu wa kulipia.

    Kwa wakenya walianza miaka hiyo na sasa hivi duniani kote wameweza kutapakaa, labda sijui huko nchi gani unaweza kusogea karibu na chuo kilicho karibu nawe ulizia. Hivyo hawa watu waliweza kujikita kielimu katika kila nyanja. sasa hivi ni takribani miaka 35 kila mkenya anarudisha pesa kwa serikali ya kenya na ndio maana wanaweza kusomesha hata mtu akitaka kusoma phd.

    Elimu iliwasaidia vitu vingi wakenya wengine ni wahadhiri baadhi ya vyuo vikuu nchi mbalimbali. Sisi bahati mbaya kutokana na huruma aliyokuwa nayo Mwalimu JK tumeanza kuchangia mwaka 1994 ambapo mpaka sasa hakuna kilichorudi.

    matokeo yake ni nini ni kwamba watanzania wachache wameweza kupenetrate katika nchi mbali mbali na kuweza kutangaza Tanzania, wanaopenetrate ni wachache sana na kati ya hao wachache sana wanafanya kazi zinazoweza kutangaza nchi yetu.

    Katika biashara: karibia kila biashara leo hiii nchi zilizoendelea zina agents katika kila zone. Leo hii ukienda marekani, japani nk watakwambia wana agent wao sehemu fulani let say south africa or kenya. Itakuwia vigumu sana kuweza kupata direct link labda mwenzetu naomba utusaidie hili. Kwa hiyo ktk biashara kiongozi wanchi husika ana-influence sana. Nafikiri unajua ktk uwekezaji kitu kimojawapo hili watu wafanye investment ni “country stability” sasa nyie mfanya biashara amekuja na bendera/kinara si anabomoa kila kitu. Nafikiri nimesema kwa sababu tuko nyuma mbinu mbali mbali ikiwepo hile ya mguu kwa mguu kwa nchi zenye uwezo inahitajika na naona ndicho kilichofanyika. Katika kuinua elimu ya Tanzania ambalo unalisema nafikiri ukiangalia hiyo historia ya Kenya pia nchi kama south Africa (ambayo mwanafunzi anaweza kupata kampuni hata mbili za kumsomesha) unaweza kuona kuwa hawajaanza leo ni miaka imepita. Ningependa baada ya sisi kulaumu mimi na wewe inawezekana tumesoma bure/hatujalipa chochote katika elimu tutoe mawazo ya jinsi gain tuweze kushindana na watu waliotutangulia miaka kati ya 25-35(Kenya) au karne lukuki nchi za ulaya. Nimesema hata tupunguze siku za kulala, sikuu ningependa kujua mawazo yako ndugu.

    By the way mimi ni mtanzania tu kama wewe naangalia jambo na kufanya analysis kulingana na ninavyoliona pia nawe unaweza kutoa mawazo kadiri unavyojua.

    ReplyDelete
  36. Huyo bibie Mhonga wa Chadema ni Mhongaji kwelikweli kama jina lake lilivyo lakini Mhonga kaa mbali na Kikwete.Shangingi la Kipare Asha Rose Migiro huliwezi wewe.Mchana linaitwa Asha(Shangingi la kiislamu linalovizia wanaume wenye noti misikitini) na Usiku linaitwa Rose(Shangingi la Kikiristo linalovizia wanaume wenye noti Makanisani kwenye mikesha).Sasa hivi huwa linavaa mtandio ili kuficha uso wake, wanga wasilione linaponyemelea wanaume!

    ReplyDelete
  37. Muheshimu waziri weye anany wa 4:36pm.Huyo huenda ni sawa na mamayo sasa kwanini humpi heshima yake.Au alikukamata pale UDSM nini ndio maana unaamua kumaliza hasira zako hapa bloguni.wabongo bwana....tabu kweli2

    ReplyDelete
  38. wewe anony wa oct 4, 9:38 am nimekurudia tena maana umeme ulikatika huku kwetu kwa muda wa siku mbili. Hapo juu unasema angalia nchi zote zilizoendelea eti utakuta ziko mbali kielimu. Sasa hapa kipi kinatangulia elimu au maendeleo? Jibu unalo
    Sijaona uelimishaji wowote unaofanya hapa zaidi ya kurukia rukia mambo. Katika post yako ya kwanza umetetea misafara mikubwa ati rais akiwepo inavutia sijui, wachuuzi, sijui wafanyabiashara. Hivi Biashara unafikiri ni wao uja kuuza kwetu tu? Kama sivyo katika hiyo biashara sisi tuna nini cha kutoa? Pili kutuambia hao watalii ndio wataleta biashara kunanifanya nikuone wa ajabu, au unafikiri biashara wanazofanya hawa jamaa ni sawa na za kibongo kila nyumba genge hata kama wateja hakuna?
    Kwa taarifa yako serious business people wana idara za utafiti na wanatumia millions kujua wapi wanataka kuwekeza na return yake ni nini. Hawahitaji kuambiwa na Musiba njooni Tanzania. Wanajua hakuna umeme, hakuna barabara, hakuna maji, kunacorruption, human resource hakuna n.k.
    Kinachogomba hapa ni kutumia mamilioni kwa misafara hii isiyokuwa ya lazima. Mfano mmoja tu ni hapo idara ya vizazi na vifo, kumbukumbu zinatunzwa kwenye makaratasi yanayotupwa chini, je fedha wanazofuja hawa wezi zisingefaa kununulia computer na servers kwa ajili ya hiyo?

    ReplyDelete
  39. Anony wa 05 october 2006, 8:49PM bado huko njombe? mwenzako nimeisha toka niko sehemu nyingine.

    Tukutane mijadala mingine

    ReplyDelete
  40. Message sent and delivered

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...