wanne staa alikuwepo kijiji cha makumbusho kuwatumbuiza jei zii na biyonsi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

 1. Mguu wa Beyonce uko sexy! Deamn. Umecheki kiupinde kile kwa chini.

  ReplyDelete
 2. WEE HAPO JUU UNAMAANISHA DAMN!!AU NINI MAANA YA HILO NENO HAPO JUU
  JIBU SWALI HILO.

  ReplyDelete
 3. jamani wakina dada nyumbani nadhani mmejionea wenyewe hakuna mpango wa kujichubua uso ili uwe kama mzungu, mnapendeza sana mkijiachilia kama mlivyo toka tumboni kwa mama zetu, see huyu dada ana fwedha lakini hakuna mikologo miingi ya ajabu ajabu, sasa ni vema kujifunza, mikologo ni zilipedwa usiweke madudu mengi ama iwe kichwani ama kubadili ngozi, simme ona yaliyo mkumba mjomba Michael Jackson na pua yake ya kubandika?hana raha inamsumbua sana na ngozi yake sasa hivi ina haribika hasa akiwa kwenye jua kali. Kwanza naona black is beuty sijui kwa nini watu wengi wanapenda kuwa weupe?

  ReplyDelete
 4. ZERO HATUKO HAPA KUKOSOANA KAMA UMEELEWA NI VEMA, SIUNAJUA SOMETIMES MKONO UNATELEZA? LAKINI KAMA UNAELEWA ALIKUWA NA MAANA GANI NDIYO KITU MUHIMU, YOU ARE RIGHT I THINK HE DID MEAN DAMN!

  ReplyDelete
 5. OOh kina dada wa kibongo wazuri!! Ni wazuri ukilinganishana wa-west Africa. Si unaona hapo Beyonce yuko tofauti na wanawake wa kibongo utafiri kasimama na vinyago!!

  ReplyDelete
 6. Wenye kutaka kulinganisha uzuri wa sura ya Beyoncé na dada zetu (na kuwataka dada zetu wasijichubue ngozi zao), tambueni kuwa Beyoncé ana damu ya ki-chotara (Mfaransa na Mweusi)..Someni zaidi:

  Beyoncé is the elder of two daughters born to Mathew and Tina Knowles (née Tina Beyince)[1] in Houston, Texas. Her father and mother are African American, Lumis Beyince a (seamstress)and Agnes Dereon--Beyonce's maternal grandparents, were French-speaking Louisiana Creoles. [2] Her parents decided on her first name as a tribute to her mother's surname. French names run in the family; starting with her grandmother Agnes Dereon, Solange Knowles, Tré Gordon and Angie Beyince. Her sister is Solange Knowles, an actress and a singer.(Wikipedia)

  ReplyDelete
 7. sawaaswearekamatulivyo,
  Inawezekana Beyonce ni chotara lakini wapi kwenye hiyo habari wamesema ni chotara wa Kifaransa? Au kwako French-speaking ni sawa na kuwa Mfaransa. Kwahiyo Warundi, Wanyarawanda, na Wakongoman wote wanozungumza Kifaransa kwako ni Wafaransa? Lete source nyingine na uilewe kwanza kabla hujaanza kuleta tafsiri zako mbofumbofu

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...