mh. amina chifupa akiimbisha wanafunzi wa shule ya vidudu mwishoni mwa juma kwenye mahafali yao ambapo alikuwa mgeni rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mh. Chifupa list yako umeitoa au unadatisha watu tuuuuu maana tumeshajua waliokuwa wanakumega sasa tunataka jua wanaocheza michezo ya tony montana!!!

    ReplyDelete
  2. Aaah huyu dada naye magazeti ya udaku hapa bongo yanasema umeachika na mchifupa kaoa demu mwingine saa nane usiku.michuzi hebu tupe full story...........ya ma supa staa hawa.

    ReplyDelete
  3. Maua mazuuri yapendeezaaa,Maua mazuuri yapendeezaaa,kwa hapo amina aminia maana kupenda watoto ipo kwa dam yako tangu enzi zile za chupa chups,mpaka clouds hadi leo bado upo nao,gud ma!keep it up
    johns

    ReplyDelete
  4. NDIYO KAACHIKA HUYOO KARUDISHWA KWAO MIKOCHENI MDOMO NA KUROPOKAROPOKA KUMEZIDI MPAKANJIA KASHINDWA. KICHWA MAJI TUPU NO BRAINER!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...