Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Picha za Yanga kutwaa ubingwa vipi Michu?

    ReplyDelete
  2. Yanga tunabaniwa

    ReplyDelete
  3. kaklabu cha wahindi.kama manchesta tu!si kama arsenal na yanga!waone watoto wa mama wamenuuna,kisa!THE DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS MABINGWA KWA MARA NYINGINE OOOOH WAMEJIFICHA LAKINI TUMEWAONAEEEEEEEEEEE!

    ReplyDelete
  4. za yanga wapii?michu mbona unatight au we simba nini?unaweka wachovuwachovu hao hewani bure!wna jipi jipya hao choka mbaya vijigogoro daily?tupa kapuni wadosi hao.

    ReplyDelete
  5. jamani picha za Yanga kupewa kombe zipo au ndiyo tulie tu? Michu tunakubembeleza ili tuwaone mashujaa. Hawa muchacho hawajashinda lolote kustahili kuwekwa humu.

    Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...