wadau msisahau kumtembelea robert mwampembwa a.k.a bi mkora ambaye ni mdogo wake godfrey mwampembwa a.k.a gado wa gazeti la nesheni la watani wetu wa jadi maana naye ana madongo kama kaka yake kama unavyoonesha mchoro huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. DUh lakini kama TANESCO kawa Simba kama Mwampemba achoravyo, basi simba huyo ni mzee halafu kibogoyo.

    ReplyDelete
  2. Hii kali Michuzi, naona kijana anafanya vitu vyake hasa!

    ReplyDelete
  3. MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISI

    ReplyDelete
  4. WABONGO WENGI NI MBUMBUMBU HAWANA UBAVU WA KUKATAA KUJIUNGA LAZIMA TUWATOMBE SANA KWENYE HUU MUUNGANO HAYA MAJAMAA MA TZ YANA ARDHI NZURI SASA SISI WAKENYA ARDHI YETU IMEKWISHA KWA NINI TUSIYANYANG`ANYE HAYA MA BUZI? YAMEZUBAA NA DAWA YAO NI KUONGEA KINGEREZA TU MAOGA SANA YANAKIMBIA YAKISIKIA TUNAONGEA KINGEREZA HATA RAIS WAO KWENYE KIKAO DAWA YAKE NI KUONGEA KINGEREZA ANA SIGN KILA KITU. WANYARWANDA LAZIMA TUWE KITU KIMOYA JUU HAYA MAJAMAA HAYAJA SOMA SANA TUTA YANYONYA KAMA TULIVYO FANYA WAKATI WA AFRICA MASHARIKI KIPINDI CHA YULE NYERERE. NDUGU ZANGU WAKENYA MLIO BONGO MSIKUBALI KUACHIA NGAZI HUKO ANZENI KUCHUKUA VIWANJA MAPEMA KAMA NI KIGAMBONI AMA CHALINZE CHUKUA UNACHO PATA WAKATI NDIO HUU, WATUSI HAKIKISHENI BIASHARA ZOTE TOKA MADINI HADI UTALII MNAUCHUKUA KUTOKA WA RIVALS WETU SOUTH AFRICANS HUU NI WAKATI WETU KUYANYONYA HAYA MAJAMAA HAYAJUI KITU NI ZERO KABISA....MUNGU IBARIKA KENYA NA RWANDA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUIRARUA TANGANYIKA!! ASANTE MSAMI KWA KUTAMBUA UKWELI WA NCHI YAKO YA TANZANIA

    ReplyDelete
  5. na wewe mike sijui unaweka maelezo hata hayaendani na picha hebu nenda pahali pake hata kama muhimu aaaah.Unaharibu mood za watu kusoma acheni kulazimisha watu wasome maambo ya kujiunga oooh kuogopa tafuta picha yake weka huko .

    ReplyDelete
  6. Now that's what i call artistic innovation!!!!!!Way to go bro!!! Tee he!

    ReplyDelete
  7. Asante anony wa 12:25 ni jitu hilo hilo moja mara lijiite Ayubu Msami mara Mike Okoth. Kibaya zaidi linaweka pumba zake mahali ndiko siko. Mijitu mingine bwana inaudhi kwelikweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...