jk akiondoka baada ya kufungua mkutano a mkurabita akisindikizwa na bwm na mama albright leo kempinski

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kaka michuzi, una maana uliposema MAKENE yupo nchini ndiyo amekuja na huyu mama au inakuwaje?

    ReplyDelete
  2. DOOH JK NAONA MAMA HAKUJALI UNALAZIMISHA DESIGN ANAMUHUSUDU BWM. ANAONA UNAJITAHIDI KUMWAGA SERA LAKINI WAPII, BWM MJANJA NA HUYO MAMA ANAPENDA BIA SASA WEWE NI SHEHE SIYO RAHISI KUONDOKA NA YEYE.

    ReplyDelete
  3. taratibu jamani mtafungwa loh...sasa wewe anony wa 11.00 habari za madeleine albright kupenda bia umetoa wapi? ma hayo maongezi wayajuaje?

    ReplyDelete
  4. Huyo shetani aliyenenepa anazubutu kutoka ndani nakuonekana na macho ya watanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...