nairobi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nairobi jiji lilojaa waongea kiingereza wengi maskini katika Afrika mashariki tofauti na nchi zingine kama Uganda na Tanzania ambako ukiona mtu anaongea kiingerza hali yake ya maisha si mbaya sana.

    Jiji la Nairobi jiji linaloongoza kuwa na biggest slum in the world(Kibera slums).Ni Jiji la kwanza Afrika mashariki kuwa na Slums nyingi kila kona ya Jiji (Mathare n.k) wakati slums kama hizo huwezi kuziona kwenye miji ya Dar es salaam na Kampala.

    Nairobi Jiji linaloongoza kwa ujambazi wa usiku kuliko Jiji lolote Afrika Mashariki.Jiji ambalo huna hamu ya kutembea usiku uwe na gari au kwa miguu uwe peke yako au uwe na mwenyeji.Hata wenyeji wa Nairobi huogopa usiku.

    Nairobi Jiji lilojaa matajiri wakubwa wa kizungu na kihindi na vibarua wengi waongea kiingereza.Kiburi cha uchumi na biashara wanacho wahindi na wazungu wakati kiburi cha kujivunia kuongea kiingereza wameachiwa wazawa wananchi vibarua wazawa waajiriwa wa Kenya.

    Nairobi jiji lilojaa watu wengi wazima wanaolala waki-share chumba kimoja tofauti na Uganda na Tanzania ambako watu wengi wazima hawalali wengi chumba kimoja na hawapendi ku-share chumba.

    Nairobi jiji lilojaa ukabila iwe Maofisini,misikitini au makanisani au kwenye vyama vya siasa kuliko jiji lolote Afrika Mashariki.

    Nairobi jiji lilojaa chokaraa wengi kuliko jiji lolote Afrika Mashariki.

    Nairobi jiji lilojaa maghorofa Makubwa likiwa na barabara mbovu mno kuelekea hayo maghorofa!!

    Nairobi inanikumbusha mbali.Kwaheri Nairobi,

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa anony wa november 24, 6:40:49. Kenya pamoja na kujivunia kuwa wana uchumi mzuri lakini maisha yao hayaendani kabisa na uchumi wao.

    Kwa kweli katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja na kujipenda watanzania tuko mara ishirini yao kabisa.

    Wanapoteza muda mwingi kuongea kiingereza hila standard of life hawajaifikia kabisa.

    Nairobi niliambiwa hata ukiwa na Computer ukasema unacomputer, unaweza kufuatwa na wezi hata kilomita 40 hili wakuibie hiyo computer. Ambacho ni kitu nilichoshangaa kabisa.

    Bado wana yale ya wazee wa zamani wanaotamba kuwa wamesoma kweli kweli lakini mkanda uliofungwa kiunoni (kwenye suluari) unaelekea kukatika (samahani kwa hili hila ndio ukweli, ukifika hapa hata kama umesoma unatakiwa kukaa kimya).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...