piga, ua...lakini hakiyanani hapa ni bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. UNATEGEMEA NINI MICHUZI WAKATI MAINJINIA ELIMU YA NGUMBALO... AKINA KINGUNGE... TOBAAAAAA WEEEE

    ReplyDelete
  2. HAPA SIYO BONGO.kwa sababu huyu anayesukuma dude ana ngozi yenye rangi mchanganyiko, (siyo full bongo style: ingawa wapo wabongo wenye ngozi kama hiyo.
    sababu nyingine inayonifanya niamini hapo siyo bongo ni kwamba maandishi haya yapo upande wa kulia wa barabara (wana keep right) wakati sisi bongo tuna keep left.

    ReplyDelete
  3. du!hiyo kali lakini watu wenyewe wanaofanya kazi hizo maimuna so im not surprise!

    ReplyDelete
  4. This photo has been doctored. Shame on you Michuzi! Anyone knowing photoshop skills can do this.

    ReplyDelete
  5. Halafu wanasema wanataka kujiunga ktk jumuiya ya Afrika Mashariki. Kusomesha watu hawataki! Hayo ndio matokeo yake! Aibu, aibu aibu!!!!! Wanasiasa wa Tanzania hawajali wanaangalia matumbo yao tu! Kungekuwa na mkakati sio wa kusomesha shule ya msingi tu, bali chuo kikuu. Bodi ya Mkopo haisaidii chochote ni ukiritimba tu wa serikali. Wasomeshe watu wengi zaidi chuo kikuu! Toa hiyo picha kwenye Daily News pia waone watu wengi zaidi! Nina hasira mpaka nashindwa kuandika! Wabunge wakijadili suala la elimu hawana uchungu na watanzania wanaokosa fursa ya kusoma elimu ya juu!

    ReplyDelete
  6. What is this now? Are you tired Michuzi? Please concentrate.

    ReplyDelete
  7. Haya ndiyo matokeo ya tenda za kupeana bar....KAKA MICHUZI hapa kama ni Mlimani Chuo kikuu vile..... Na tenda nyingi bado watu wanapeana bar. Rada ya Kijeshi...Ndege ya Rais....eti anapewa dalali Gabachori atafute Ndege ya Rais...Rada ya Kijeshi tunasikia commission yake 39% ya $ usd 40 milioni. Wizara husika haiwezi kufanya mazungumzo na (BAE) kampuni iliyotengeza rada ya kijeshi? Scotlandi Yadi wapo kazini tayari kuchunguza rushwa iliyotumika.......

    ReplyDelete
  8. Tulizeni boli - hii si Tanzania kwani driving on the wrong side! (Au negative imegeuzwa???)

    ReplyDelete
  9. Duh, mmmmmmmmmh, nimeishiwa maneno

    ReplyDelete
  10. MAMA MIA!!
    Kama ni bongo, basi hicho kinafanana sana na kihutu au kitusi, itabidi serikali ianze kufundisha watoto wetu mashule lugha hizi mbili, vingenvyo ajali zitazikuongezeka barabarani

    ReplyDelete
  11. Siyo Bongo hapo. Huoni mzungu huyo!!

    ReplyDelete
  12. Hapo sio Tanzania. Tanzania tuna-drive on LHS of the Road. Kwani hiyo ni marking ni kwa wanao-drive RHS.

    ReplyDelete
  13. He!he!he!he! Si angeandika SIMAMA tu.

    ReplyDelete
  14. kubalini yaishe hata kichaka mwenywe anachapia.

    ReplyDelete
  15. Hizi picha ni FORWARDING tena za cku nyingi na zimekuwa zikizunguka tangu 2001 kama sijakosea...Mkuu Michuzi weka MAMBO MENGINE LAKINI SIO HAYA!! CHA UPEPO!!!

    ReplyDelete
  16. Watanzania ni lini tutaacha huu ujinga wa kuheshimu kiingereza ? Hivi kweli mtu na akili timamu unaweza kusema tanzania isijiunge na EAC kwa sababu hatuko fluent katika kiingereza , hii ni moja ya statement finyu ambayo nimeshawahi kuisikia katika maisha yangu !

    Kiingereza ni nini ? Na jee kuna uwiano wowote kati ya kujua kiingereza na uwezo wa mtu wa kufikiri ? Na kwa nini mtu anayezungumza au kuandika hiyo lugha ana heshimika sana hapo TZ ? Watanzania tuacheni ujinga and tuanze kuipenda lugha yetu.

    Mimi siku zote aingii akili kwa wageni kupata kazi Tanzania kwa kigezo ya kuwa wanajua kiingereza wakati majority wa magraduate wetu awapati ! wakati huo huo makampuni mengi yanayoajiri hao wageni wateja wao wakubwa ni wazalendo wanaozungumza kiswahili tuu .....Huu ni ujinga wa hali ya juu. Jamani tutembee tuone , Texas mtu kama sio bilingual (english &spanish ) itakuwa ni vigumu sana kupata kazi kwenye taasisi kama mabenki kwa nini sababu wateja wengi wanazungumza kispanishi ....

    ReplyDelete
  17. Hii picha si tatizo la Michuzi. Na hapa na confirm siyo Tanzania na ninafikiri kusudi hasa lilikuwa ni some sort of humour ktk blog yake. Wameitoa hapa:-www.mistupid.com/pictures/page057.htm au www.tardsite.com/sotp.htm Pole michuzi kama umetukanwa kidogo.

    ReplyDelete
  18. I have a different view on the whole discussion, previous discussants demonstrated the highly enormous skills of evaluating Bongo in terms of misspellings, it is true ,since that we have brought up with Swahili as our first language .Lamentably ,that might be a common mistake to anybody, regardless of the originality. I remained convinced that most people tends to think that communication skills is the way of recognise genius and exceptionality. Not surprisingly, they can make similar mistake which has been committed with the one who wrote.

    Firstly we were required to understand which language is that, may be SOPT is Portuguese, Spanish or Polish which mean people in work, or no way. It doesn’t ring a bell to me.

    How know that, it could be a trump up version from the new cybernetic technology. My concern here is that, let analyse things critically rather than jumping into the event. Let think, globally than locally. Cheer, mates.

    ReplyDelete
  19. whatever mdhungu wa Saa Thursday, November 23, 2006 8:22:28 PM, Mtoa Maoni: Anonymous naona kiinglish kwa wingi wengine hayo mabombastick hatupati can u thpeak inglish plise

    ReplyDelete
  20. 1.Ndugu yetu Michuzi pole na kazi za kila siku "VITABU VYA DINI VINASEMA USITAJE BURE JINA LA MAURANA" sasa unafikia kuapa kwamba hii picha ni bongo tutake radhi.

    2.Picha hii ipo kweli kwenye "STUPID PICTURES" MIStupid.com (The Online Magazine)
    inafuatiwa na picha zifuatazo
    (a)Stupid picture
    (Tennis Fault)
    (b)Stupid Picture
    (Virus protection)
    (c)Carrot couple just to mention few of them
    3.Ukiangalia vizuri hiyo picha na website ulipoitoa utaona vizuri kwamba siyo bongo na huyo mwenye kutumia hicho kifaa sio mbongo tunao wenye rangi hizo ila kazi zao tunazijua.
    4.Michuzi tuwe makini katika hayo yaletwayo kwenye Blogg yetu

    ReplyDelete
  21. Michuzi picha nyingine ukitumiwa na mtu angalia umuhimu wake kwanza na ukweli wake, hizi picha ni downloaded from net na sio za Tanzania kama inavyoelezwa hapa. Ujue watu wengine hawako serious hivyo wanaweza kusababisha blog yako ikaonekana ina weakness. Please assure quality and not quantity.

    ReplyDelete
  22. Picha sasa naona zimekuwa za danganya toto! do something michuzi.

    ReplyDelete
  23. There is a guy here, I don't know from US, because he gives an example of Texas, who instead of posting a comment has written a rhetoric. He's asking why Tanzanians extoll english language instead of their own language. Surprisingly, his next sentence says without being bilingual (speaking english and spanish) you can't find job in Texas! If I got him he's extolling english! Because which other language should Tanzanians learn apart from Kiswahili? spanish? Don't be cheated, though we should take pride of our Kiswahili, we can't afford to demean english. It is taught in primary schools, and it is a medium of instruction from Secondary schools to University and the guy is saying if you can't speak it, it is okay! With your swahili where can you find a job? Which international organization will employ you? Kariakoo market or Buguruni kwa Mnyamani or Feri? Push your government to develope swahili into an international language otherwise you have no option! call me a fool but truth will remain there! Kiswahili has been added among the official languages of AU, along with Arabic, portuguese, english and French, but little is being done in the international arena to promote Kiswahili. Even the people who championed the inclusion of Swahili in the list of official languages of AU was not a Tanzanian! I think you remeber Chisano's in one of the AU meetings in Addis Ababa. While Mkapa delivered his speech in English, Chisano took to the pulpit in fluent Swahili. If our politicians won't work hard to promote Kiswahili, and as long as our economy remains poor, Tanzanians will have to learn it the hard way, as competence in english language will remain to be the yardstick when seeking jobs! We can't ignore English when Swahili is not even known by all east Africans. Many Central, West and North Africans speak two or three languages, english, french and Arabic! So think again before you rebuke those who strive to be good English speakers!

    ReplyDelete
  24. Kiingerza mimi hata sikijali mbona wajapani wengi (99.9%)hawajui kiingereza na wala hawana mpango nacho lakini wamewazidi maendeleo wakenya na waganda ambao hata wakienda kunya vyooni huwa wanaongea kiingereza na humtaka kila mtu ajue kiingereza kama vile walizaliwa nacho wakati wengi wao ni weusi kuliko mkaa wa Charambe kwa mama mkwe Mchawi anayewanga mchana wa Issa Michuzi! Lofa ni lofa tu hata ujue lugha kuu za dunia utabaki lofa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...