Home
Unlabelled
ist afrika mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu dereva ni wa kufikishwa mahakamani moja kwa moja na ushahidi ni huu wa picha!Vinginevyo huu ni mradi wa trafiki wa Kampala.
ReplyDeleteThis is Africa 4 U. Nice pic reminds us all of our roots. Any way we can chage this hali???????????????? No way!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHaya sasa mliosema wa ughaibuni warudi bongo eti what?Makerere?huku ukiwa unafanya MC D una gari yako,tusileteane mchezo jamani!ngwamba za namna hiyo tulishasahau,mambo ya kusukumwa na makonda hatujayasahau bado.Someni ughaibuni tuondoe usanawari.
ReplyDeleteHizi picha zinazunguka miaka mingi sasa na wala sio east africa...hizi ni fwd za miaka mingi. Michuzi vipi ndugu yangu au umechoka kutuwekea mambo mapya na sasa unatuwekea mitumba hii ya internet
ReplyDeleteMichuzi aliye kutumia hiyo picha naona kakudanganya. http://www.burgerman.info/amazing-pictures.htm
ReplyDeletehuu ni uchizi utawezaje ku
ReplyDeletefanya kitu kama hiki ni lazima gavament ifanye kitu.
Michuzi kwa heshima na taadhima naomba niulize picha za Yanga kuchukua ubingwa mbona unazibania?
ReplyDeleteNi kweli Yanga kitita tunaonewa
ReplyDeleteAnayeendesha hii gari namjua sana ni YOWERI KAGUTA MUSEVENI.Hao waliopanda nyuma ni waganda wanafunzi na walimu wao ambao wameamua kuacha chuo cha Makerere kutokana na kukosa ada na walimu wameacha sababu mishahara midogo.Hapo anawarudisha kijijini kwao walikozaliwa wakajiajiri wenyewe kama wanafikiri ajira ni rahisi.
ReplyDeleteMichuzi najua wazi kuwa wewe ni LIVAPUL na SIMBA damu. Lakini tupo sie akina YANGA kuzaliwa. Tunaomba PICHA za YANGA, mabingwa wa kulisakata kandanda nchini TANZANIA. Vijana wa JANGWANI. Thanx.
ReplyDeleteAisee hii ni zaidi ya shida ya usafiri, sidhani kama inafikia ile shida ya usafiri ya kule Kusini mwa Bongo... This is too much bwana!
ReplyDeleteKaribuni sana www.gallus-tz.blogspot.com
Yanga mabingwa wa kusakata kandanda nje ya uwanja. Wakiingia uwanjani wanakimbia kimbia na kurusha rusha mipira tu.
ReplyDeletehttp://www.jambophotos.com/
ReplyDeleteyeeeees hiyo ndio Africa ninayoi penda mimi wajama wana ziki lakini wako happy kinoma big smile hey life goes on
ReplyDeletebongo for life