madereva wetu uwanja wa ndege bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. wanafunzi wa makongo?

    ReplyDelete
  2. wanachafua mazingira

    ReplyDelete
  3. wabongo bwana kulalamika tu, sasa wanafunzi nini wakati sare inawafanya watambulike vizuri, tena na vitambulisho juu? na we unayesema wanachafua mazingira, unafikiri usafiri utatoa wapi? mie naona kama wameweka utaratibu mzuri wa madereva mbona afadhali kuliko ile ya vurugu ya kunyang'anyana vitu na kelele!
    hebu tusifie kazi nsuri inapoonekana

    ReplyDelete
  4. mie nilifikiria wako ugawaji, mabenchi ya mbao!noma hii.

    ReplyDelete
  5. Afadhali wavaliswe kama wanafunzi, maana siku za nyuma walikuwa wanavaa kama wamachinga! na walikuwa wananuka vikwapa ile mbayaaa, plus na kuvutia sigara ndani ya taxi... ilikuwa tabu tupo

    ReplyDelete
  6. Anony hapo juu nimeshindwa kuelewa. Mimi naona kundi la watu wanaojaribu kujipatia kipato kwa njia ya halali, ili kulisha familia zao.

    Vilevile kama umefika nchi nyingine kama nigeria, hapo airport jasho litakutoka. Hujui yupi dereva wa ukweli na yupi mkabaji?! Hii system ya taxi drivers Dar airport iko clear na salama, nimeipenda sana.

    ReplyDelete
  7. anony unayelalamikia mabench ya mbao ulitaka yawe ya chuma? jamani hata uende wapi benchi ni mbao tu hebu tuache ulimbukeni! safi sana huu utaratibu!

    ReplyDelete
  8. anony unayelalamikia mabenchi ya mbao ulitaka yawe ya nini? hata uende wapi mabenchi ya kusubiria usafiri nje huwa ni mbao siku zote, hebu tuache ulimbukeni hapa, huu utaratibu mzuri saana! hongera bongo!

    ReplyDelete
  9. Hivi ni tax driver wote wanatakiwa kuvaa sare au ni hao wa uwanja wa ndege tu?? wanapendeza na wanaonekana wasafi....
    je wameshaacha kuparamia abiria?? Zamani ilikuwa ukifika pale aiport wanaweza kukuvunja mkono : dereva huyu anavutia kwake na mwingnie anavutia kwake kwa wakati mmoja....

    ReplyDelete
  10. jamani kwa kweli kitu kizuri kikifanyika tujitahidi kusifia wapendwa, sisi kukaa nje ya nyumbani mude mrefu kusitubadilishe sana after all sio kwetu. Mimi nawapongeza kwa step waliyochukua madreva taxi, they do look smart. Taratibu tu tutafika siku moja.

    ReplyDelete
  11. jamani kweli tusifie jitihada zinapoonyeshwa nyumbani, after all huku tulipo si kwetu. Ma-drivers look really smart, taratibu tu tutafika na sisi.

    ReplyDelete
  12. jamani jitihada zinapofanywa nyumbani tunatakiwa kuziunga mkono na kutoa mawazo ya kuzidumisha na kusaidia kuleta maendeleo zaidi. Personaly I think they do look smart, keep up the spirit, tutafika tu. Kukaa kwenye nchi za watu zisitubadilishe namna zetu za kufikiria kuhusu nyumbani, after all huko ndio pakukimbilia huku kukitushinda. Tunatakiwa kufikiria namna ya kupasaidia kila siku.

    ReplyDelete
  13. They look smart, keep up the spirit tutafika tu. Jitihada zikifanyika tuziunge mkono jamani na kutoa mawazo ya kusaidia zaidi, tuliko si kwetu after all.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...