Home
Unlabelled
maraha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani ebu nisaidieni hapa niwapi kusema hukweli mimi sipakumbuki kama kuna anayepajua naomba anisaidie kusudi nikirudi nyumbani niweze kwenda hapo michuzi tafadhari kama utaweza kuweka picha ya magomeni mapipa nakuomba sana pls kwani napamiss kishenzi nakuaminia sana kuwa utakubari ombi langu thnx
ReplyDeleteHapo ni La-taverna hata hayo mabango ukiyasoma tu utakubali mwenyewe
ReplyDeletehapo ni mtoni kwa azizi ally karibu na sabasaba kama unaenda mbagala kwenye makutano ya njia panda ya mtoni mbagala na tandika
ReplyDeletewewe hapo juu embu acha kumdanganya mwenzio, hii shm nafikiri iko Mikocheni lkn sina uhakika vizuri
ReplyDeletevijana wa mbagala, hapo ni mikocheni karibia na shoppers plaza, naona mlikuwa hamtembelei hizo sehemu au mara ya mwisho mmerudi lini bongo? siyo utani najua mambo ya makaratasi ndugu zangu, ha ha hahaaa!!!
ReplyDeletehapo ni mikocheni karibia na shoppers plaza, karibuni sasa watoto wa magomeni.
ReplyDeleteMichuzi sasa umetuchoka kusema LA TARVERNA ni ukumbi unaoongoza kwa maraha week end kweli basi maraha yanatofautiana ,the place next shopers plaza na karibu na May fair nvua ikinyesha NOMA,hamna paking ya magari fence ya makuti eee haya labda kwako ndio maraha.
ReplyDelete1.Vipi kwetu bar??? JJ
2.Nyumba ya sanaa????
3.Trinity Oysterbay
4.Golf club Chole road
5.Na kwa kijana wetu KINJE na akitoa mchezo wa bastora amuulize MUNGAI na ya kwake tunaitaifisha.
PITIENI KOTE HUKO NDIPO TUPATE MCHANGO WENU ULIOSHEHENI UCHUNGUZI WA KINA nafikiri brother muhidini alipita pale akitoka kuchukua ngua pale dry cleaner shoppers plaza akaona apate picha ya kutuletea.
HAVE A NICE TOUR OVER THE WEEK END AND COMENT next week.
cheers
Bado naikumbuka Bongo,
ReplyDeletehapo ni barabara ya kwenda Mikocheni kama vile unaelekea kwa Mwalimu Nyerere kiwanja icho kipo baada ya jengo la Shoppers Plaza na Tanrose entertainment ukiwa na daladala shukia kituo cha kisiwani hapo utakuwa umefika La Taverna hall.
hiyo ndio la taverna bwanaaaaaa!watu pipoooo!mambo ya jumamosi hayo na kesho sikosi!
ReplyDeletePana kila dalili ya mbu kibao!
ReplyDelete