kaka john mhina wa bendi kongwe ya the tanzanite bado anadunda. tuko kwenye mchakato (process) ya kuingia mikataba na lebo, wasanii, maprodyuza na wadau wengine ili mtandao wenu wa muziki wa bongo uwe tajiri kwa muziki wa nyumbani. mipasho, mchiriku, reggae, kwaya na midundo mingine yoooote itahusishwa. pia tegemeeni mapicha yenye ubora kama huo hapo juu wa wasanii wetu mbalimbali. ila tunaomba muwe na subira, roma haikujengwa siku moja.
vile vile twakaribisha maoni ya kujenga ili kuboresha mtandao wenu huu
KUNA WADAU WANASEMA HAWAJUI WAINGIE VIPI KWENYE MTANDAO WENU MPYA WA MUZIKI WA NYUMBANI. WE BONYEZA POPOTE HAPA KWENYE BULUU NA UTAINGIA MOJA KWA MOJA.
ASANTE
MK & MICHUZI
Huyu Msanii, mimi heshima zangu zote nazitoa kwake! Nakumbuka enzi hizo Kilimanjaro Hoteli mambo ya Simba grill mimi bado mdogo kisawasawa lakini mapenzi yangu ya Zouk na wahasisi wa Zouk yalikuwa makubwa. Na kama hapa kuna watu wanaelewa nachoongelea watajua Kassav ndio ilikuwa kilevi cha mpenda Zouk. Huyu msanii alinijulisha kuwa ndani ya bongo miziki yote inalizwa maana sina hata cha kuelezea ni nini huyu Msanii alichokuwa anafanya ! Mzee John Mhina washabiki wako bado tupo. endeleza mambo!Simon mdogo wake Davie!
ReplyDeleteHuyo mama upande wa kulia juu ya mahusiano.com mwenye laptop ni nani?
ReplyDeleteHayo ni vijimambo tu ya Template and Designing.
ReplyDeleteThanx.
kaka una sura nzuri ya kuvutia, au niseme "handsome". Mkeo amejipatia kweli, namuonea wivu...
ReplyDelete