sikuwa peke yangu kwa watani wa jadi. niliongozana na mhariri wa mtanzania da' badra masoud na mzee makwaia wa kuhenga na mhariri mtendaji wa the citizen bakari machumu aliyepiga picha hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Jamani KIKWETE kaenda JAPAN tena, Huyu jamaa ni bomu mno...Hakuna mwezi ambao amemaliza bila kwenda nchi ya nje. Yaani Ben natamani harudi madarakani

    ReplyDelete
  2. Naona badra Masoud si haba!

    ReplyDelete
  3. Mbona huyo Badra anaonekana mnyonge? Wewe Michuzi ulimkosea nini dada wa watu?

    ReplyDelete
  4. Huyo mwanadada yuko single?
    Nishampenda mie!

    ReplyDelete
  5. Naona Mzee Mkwaia wa Kuhenga anawauliza wenzie"Je tutafika?" ndio mana Badra ana wasiwasi kaingia unyonge, Michuzi anajipamoyo kwa kicheko huku akicheza game katika laptop.

    ReplyDelete
  6. MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISI

    ReplyDelete
  7. WABONGO WENGI NI MBUMBUMBU HAWANA UBAVU WA KUKATAA KUJIUNGA LAZIMA TUWATOMBE SANA KWENYE HUU MUUNGANO HAYA MAJAMAA MA TZ YANA ARDHI NZURI SASA SISI WAKENYA ARDHI YETU IMEKWISHA KWA NINI TUSIYANYANG`ANYE HAYA MA BUZI? YAMEZUBAA NA DAWA YAO NI KUONGEA KINGEREZA TU MAOGA SANA YANAKIMBIA YAKISIKIA TUNAONGEA KINGEREZA HATA RAIS WAO KWENYE KIKAO DAWA YAKE NI KUONGEA KINGEREZA ANA SIGN KILA KITU. WANYARWANDA LAZIMA TUWE KITU KIMOYA JUU HAYA MAJAMAA HAYAJA SOMA SANA TUTA YANYONYA KAMA TULIVYO FANYA WAKATI WA AFRICA MASHARIKI KIPINDI CHA YULE NYERERE. NDUGU ZANGU WAKENYA MLIO BONGO MSIKUBALI KUACHIA NGAZI HUKO ANZENI KUCHUKUA VIWANJA MAPEMA KAMA NI KIGAMBONI AMA CHALINZE CHUKUA UNACHO PATA WAKATI NDIO HUU, WATUSI HAKIKISHENI BIASHARA ZOTE TOKA MADINI HADI UTALII MNAUCHUKUA KUTOKA WA RIVALS WETU SOUTH AFRICANS HUU NI WAKATI WETU KUYANYONYA HAYA MAJAMAA HAYAJUI KITU NI ZERO KABISA....MUNGU IBARIKA KENYA NA RWANDA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUIRARUA TANGANYIKA!! ASANTE MSAMI KWA KUTAMBUA UKWELI WA NCHI YAKO YA TANZANIA

    ReplyDelete
  8. Hivi wewe unayejiita Ayubu Msama mara Okoth tatizo lako ni nini? Tuondolee upuuzi wako hapa na ujue sasa umeshakua na baba yako ameshachukua mahari za wanaume tayari ili uolewe. Anza kujiandaa kuwa mke mwema ng'ombe wewe.

    ReplyDelete
  9. Hongera kaka michuzi. Kweli una kila sababu ya kuwashangaa Wabongo wanafanya nini uhamishoni badala ya kurudi nyumbani "kujenga nchi" kama "mjengavyo" Wazee. Kwenye ji-trip hili liloanzia Uhuru Park, Dubai, Fukuoka, Shangai mpaka mtakapoishia, suti hizi mbili tatu za kupigia picha zinatosha si vibaya ukanunua viatu kwani hivi hapa vilitoka kwenye fasheni kitambo kidogo. Ni ushauri tu! Te te teteeee!!!!!!
    Wako, Muungwana.

    ReplyDelete
  10. Michuzi huko Japani upige picha unakula vyura na nyoka, na pumbu za mbwa maana ndo vyakyula vikuu wanaolishwa waheshiwa huko!

    ReplyDelete
  11. Na ninyi Wa-Tanzania wengine, mnaolilia vya kisasa na huku hamvitengenezi, msiwe kama mtoto na puto! Mtoto mdogo ananunuliwa puto...anachezea siku mbili, tatu hivi...utamu (functionality)unakwisha...analilia puto jipya. Mnataka kuonekana na vya kisasa vilivyotoka leo, si jana, ili mkoge walio na vya juzi! Be careful; mtabaki mnakimbilia "mirage"!

    ReplyDelete
  12. Michuzi you look so good nowadays...Nakuona unakula nyama choma but I don't see a ring. hebu tuambie wewe ni private property or you are still a public property ....nina sister mzuri kuliko Cynthia...na tabia yake ni extra but is free for you. I don't know if una preffer elimu pia manake vitabu vimepanda pia kichwani kwa mwanadada huyu na anaakili ya darasani na pia akili ya maisha pia ipo. The whole package.... Hasheem

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...