Home
Unlabelled
nkurunzinza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi mkwewe au mkewe? sitashangaa lakini ukisema mkwewe
ReplyDeletehuyu mama kabeba nini hicho kichwani? dah!Hata hafanani na mke wa rais. Lakini hii safi sana kwa wananchi wao maana inaelekea hawajajua kuiba maana hata shingoni kavaa plastics kama vile anaolewa. Huyu rais mwenyewe uvaaji wake ni wa kipedejhee sana. Hawa protocal yao ni ya pekee nadhani. I hope anameweza ku-contain matatizo ya kisiasa ya nchi yake.
ReplyDeleteSio Plastiki hizo ni Pearls
ReplyDeleteHawa wote ni walokoke, wacha Mungu wa Kikristo! Maana kuanzia Rais Isaias Afewerki (Eritrea), Waizri Mkuu Meles Zenawi (Ethiopia), Rais M-7 (Uganda), Rais Paul Kagame (Rwanda) na huyu Rais Pierre Nkurunziza (Burundi) pamoja na ma-First Ladies wao, wote ni ma-born again Christians! Wameua watu wengi ndio maana ya ku-seek u-born again wa Ki-Kristo wa Aleluya!
ReplyDeleteMimi nitabakia,Born Again Pagan, basi!
huyu raisi ni mtoto wa mjini yaani hata alivyochukua nchi nakumbuka alinunua suti zake hapa dar ,pale woolworth manake alikuwa mzee wa kazi tu ndio kuukwaa upresida akasema naye aanze kuvaa suti sasa.mkewe sio mbaya ni mwanamke anaonekana ametulia na decenti,tatizo mmeshazoea mafirst lady wenu hina mpaka kwenye mapaja,sasa mkiona mwanamke simple mnaona kama mbaya.
ReplyDeletehuyu president ni handsome alafu yuko romantic.na body yake ni tamu
ReplyDeleteHuyu mama uso, mavazi yake yakishamba kweli,(sijapata kuona) utadhani ametoka mkuranga! mume wake naye katutolea kali, kavaa shuti inayotakiwa kuvaliwa na t-shirt ndani lakini yeye kavaa shati lingine. duu hii kiboko
ReplyDeleteAise wanafananana saana utafikiri ni mtu na dada yake
ReplyDeleteHuyuFirst Lady ni typical African woman,yaani uswahilini waweza kumuita kuku wa kienyeji...
ReplyDeleteAt least Africa is getting young presidents for a change may be they have different vision to their boring forefathers
ReplyDeleteBy theway nice suit man !
John ,UK
Tatizo nyie mmezoea first Lady na malemba tu na kujichora mahina ule ni uswahili bwana na ushangingi.Mwache mama wa watu kapendeza simple but sure.
ReplyDeletenashindwa kuelewa mwelekeo wetu wapiga kura...viongozi wakichukua flight kwenda Italy kununua Suti tunawalaumu.wakishonesha Suti kwa fundi cherahani tunasema washamba.huyu rais na mke wake hawashindwi kuchukua pesa za kodi ya waburundi kwenda shopping Italy ila wameamua kutokufanya hivyo kwa sababu wanazozielewa vizuri wao wenyewe.
ReplyDeleteAlyesema eti hana sura ya mke wa rais hana point kabisa. Kwani sura za wake wa rais zikoje? Wake wa rais sio identical twins, kwa hiyo KAMWE hawatafanana. Kila mwanadamu ni unique, na sioni tatizo lolote la first lady wa Bujumbura. Waafrika tuachane na roho wivu. Wivu na chuki na majungu ndivyo vinavyoturidisha nyuma.
ReplyDeleteMnaovaa vizuri mbona mmechoka kimaisha.Mnajua kumatch nguo lakini maisha haya match mko hoi!!
ReplyDeleteHuyo mwanamke ni mbaya wa uso lakini kaibua raisi tofauti na vi-miss vya TANZANIA ambayo pamoja na kukesha Saluni,kujipodoa na kumatch nguo na kuwa vitoto vya mjini vilivyosoma sana haviolewi na hata kama vikiolewa vinaolewa na vidume vichizi na vibaya kuanzia uso,tabia na kimaisha.Vidume visivyokuwa na title yoyote ya maana.
Nami nimegundua wanawake wenye sura mbaya Tanzania ndio wanaoomgoza kuolewa na watu wa maana hata Tanzania.Wazuri sana wanaume wengi wanawasusa sababu wana nyodo!!!Hata wakiwaoa wanawatimua haraka iwezekanavyo mara baada ya kuwaonja!!
Nawafagilia viongozi wazee. Licha ya matatizo yao, wametulia na wana busara. Viongozi vijana karibu wote wanamawazo ya kukusanya mali, tutake tusitake vijana huu ndio ukweli. Wazee wanachotaka sana ni heshima ya uongozi kuliko mali.
ReplyDeleteDu! Mama ana mwanya mzuri huo kwenye meno.Raisi Nkurunzinza nakuonya ukimwacha kidogo tu mimi namchukua kama mwewe na kukimbia naye maneromango.
ReplyDelete