watazamaji waliokamatwa na polisi wa mitindo wakiwa wamevalia vizuri walipewa adhabu ya kupata zawadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. MashaAllah, vitu vizuri viitwe vizuri tu.Sifa zimwendee mwenyezi Mungu kwa uumbaji wake.Si mchezo, nimeishiwa maneno kwa haya niliyoyaona, naomba Mungu aniwie radhi kama nachuma dhambi.Binti umejaaliwa.......

    ReplyDelete
  2. doh i've just gone blind!








    I'M THE VICTIM OF MY OWN MAKING

    ReplyDelete
  3. Michuzi pipe gani tena hili? sio siri dada kasimama.

    ReplyDelete
  4. Michuzi chonde chonde naomba jina lake, adress yake ni jaribu bahati yangu tafadhali mkuu.

    ReplyDelete
  5. DUU,ATAKAYEMPONDA HUYU DADA MCHAWI,MI MWENYEWE MWANAMKE LAKINI DUU LAZMA NIMSIFIE MWENZANGU.DADA UMEJALIWA,YANI KUANZIA USAFIRI, ND EVERYTHING.

    ReplyDelete
  6. Duh!!
    Watapona vipofu tu,, wengine wote tutakufa,, hii sasa si mchezo. Nimekubali yaishe.

    ReplyDelete
  7. Eeh bwana huyo dada kaumbika.Nipo hapa kwa mzee bush but sijawahi kuona kitu kama hicho,huyo dada ni mzuri sana na kapendeza.kwa ujmla anajua kupiga pamba

    ReplyDelete
  8. Michuzi naona umeamua kukaribisha matusi sio. Haya bwana...

    ReplyDelete
  9. Niseme nini...sina la kusema yote mmemaliza

    ReplyDelete
  10. Huyo wewa nyuma anaonekana kama the Saudina wa Sokoto!

    ReplyDelete
  11. MICHUZI MBONA HUJAWEKA HABARI YA MADAKTARI WALIOKUFA NIGERIA. NA PICHA ZA KUWASILI KWAO. VIPI MZEE, PARTISAN HIYO, SI MAREHEMU HAO TENA WATU MUHIMU KWA TAIFA, NI LOSS, HIYO.

    ReplyDelete
  12. Wala msifanye mashindano kupoteza muda.Huyo Miss Tanzania

    ReplyDelete
  13. Jamani nyie kwa nini huyu hakwenda kutuwakilisha Poland?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...