toka kocha wa kibrazili atue nchini hamasa ya kabumbu imekuwa kubwa si kwa vijana si kwa mashabiki. hapa ni tandika mwisho wakati wa mechi baina ya barcelona (vifua wazi) na inter milan, na hapa ni dakika za lala unono. matokeo 1-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. safi sana vijana mwanzo mgumu na watu wametoka mbali sana,hata wakuu wa soka walipitia huko huko

    welldone guyz!!

    ReplyDelete
  2. Hao ni akina fyucha Ronadinyo!

    ReplyDelete
  3. Tatizo viwanja,mashuleni viwanja vimevunjwa au vimeuzwa, Jangwani ndio kabisa watu wamejenga bila hata ya mpango hakuna tena jangwan, shule nyingi zilizopo huko Tandika,Mbagala, manzese tuseme sehemu za Uswazi hazina viwanja watoto wanacheza mpira kwenye mitaa gari likipita wanasimama kisha wanaendelea kulikuwa na uwanja wa Urafiki sehemu za manzese Ya Ubungo tayari wameuza na watu wanajenga magodauni

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa Mzawa viwanja ni muhimu sana kwa Watoto ambao ni tegemeo la Taifa kama mnawanyima haki zao unategemea nini? mwisho inakuwa Ujambazi na kuombaomba wanatakiwa wawe na sehemu zao za kucheza sio tamaa ya wachache kuuza viwanja ki holela kwa tamaa ya pesa naomba serikali iangalie sana suala hili kiundani na kuwachukulia hatua wahusika nyinyi kina Michuzi ndio watu wa kukemea mambo hayo na kuyanadi ili hata wafanya biashara wawasaidie watoto hawa

    ReplyDelete
  5. Pamoja na kuwahimiza vijana kama hao kucheza mpira, na michezo mingineyo au mazoezi ya mwili tu, kuna haja kubwa sana kuzingatia majina ya kizawa. Sio lazima vyetu viwe na majina ya kigeni ili kufaulu, kwa mfano: Barcelona na Inter Milan!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...