Home
Unlabelled
dua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inasikitisha sana kuona eti tuna mbunge wa vijana ambaye ajatulia na ubishoo usiokuwa na mwisho na kutaka kujikweza kwa watu sasa unasoma dua ya nini wakati wewe ndio uliowasha moto wa madawa ya kurevya hukasahau kuwa wewe na mumeo huko kutanua kwenu kwa magari ya kifahari yalipatikana na biashara hiyo sasa subiri serikali ifanye kazi yake na mumeo yumo kwenye kibano hicho arbadiri aizuii serikali amina chifupa umerikoroga utalinywa
ReplyDeleteHizi ni show off na hakuna ya cha zaidi hapo. Halafu Watanznaia kwa vijisuala vidogo vidogo mnatisha, nania alikuwa hajui Tanzania kuna wauza unga? Tena watu wanawajua hata kwa majina leo Chifupa ati anaonekana shujaa, upuuzi mtupu.
ReplyDeleteShe needs to go to school first. Yeye na mumewe wauza unga waliobobea watamwambia nani.
ReplyDeleteYaani hakuna kitu kilichoniboa kwenye hii blogu tangu niijue, kama haya mapicha ya sijui dua natamani kutapika!!!
ReplyDeleteyaani huyu mwanamke anapaswa aende shule,yaani ni kuchezea hela za walipa kodi,dua kwa ajili ya mambo gani?yaani ni ujinga mtupu,huyu msichana anapenda attention hakuna lolote,eti mbunge?that is bunch of bull.............
ReplyDeleteJamani kwa nini inawauma wenzenu kufanya dua ya kumshukuru mwenyezi mungu? Tena wamefanya na wamealika watu wa kawaida kama vitabu vya dini vinavyotuomba.
ReplyDeleteEniwei, mnaweza kumsikiliza Mheshimiwa Amina Chifupa Radio Butiama mmsikie alivyokuwa mtu makini na mtetezi wa mambo ya vijana.
Jamani Jamani wabongo mbona hatuna dogo!!!!!!!!!!!!!!!!! Amekosa nini Amina??????? Mbona mnamuandama sana dada huyu hamna analofanya jema kila kitu ni kumtoa kasoro tu. Sio vizuri kama hamtaki kumuona humu basi msitemebele hii blog mpaka atakapo badilisha picha Michuzi. Au kama mna picha au habari zingine zinazofaa naomba mumtumie ili atuwekee huku. Kashfa zimezidi jamani tupunguzeni chuki. Amewafanya nini Amina????????????????? Hata nyie ombeni Mungu awapatie sio tu kashfa.
ReplyDeleteNa wewe unasema niwauuza unga unachekesha sana. ulikuwepo wakiuza unga?????? Au ndo wewe unauza nao???? Mind ur own business whoever you are. Naomba uwe na unhakika na unacho kisema kabla yakupublish anything here next time. Shushushu wewe huna haya.
ReplyDeletemnaosema amina aende shule huenda mmesoma lakini hamjaelimika. kiwango cha elimu kwa tanzania ni darasa la saba (serikali inawajibika mpaka hapo) na baada ya hapo ni bahati ua kuchaguliwa au kama umebahatika ukapata wa kukulipa kwenda sekondari. muhimu ni kujua kusoma na kuandika kwa lugha ya kiswahili. na amina kafika hadi kidato cha sita (na pengine zaidi). amina chifupa ana mapungufu yake na anapenda kujitangaza, kujulikana, n.k. lakini hayo hayahusiani na elimu ni upeo wa mtu. na sasa ana wasiwasi wa kuchukuliwa huyo mpakanjia sababu kasahau kwambva, muosha huoshwa!!!
ReplyDeleteNapenda miguu ya huyo mama upande wa shoto wa Chi-Bone (Chifupa):
ReplyDeleteNg'aa, mama!
Mikono myeusi!
Ng'aa, mwanamama!
Uso mweusi!
Ng'aa mama!
Miguu myeupe!
Zidi kun'aa, mwanamama!
Nga'aa na upambazuke
Kama jua la asubuhi pambazuke!
Hakuna sababu weusi uondoze!
Usije paka blichi mikono opodoze!
Kwa kutaka uangaze!
This is Born Again Pagan, signing off and saying bye for now!
yaani huyu dada yuko mpaka kwenye sala anapozi kwa kutabasamu kisa picha upeo kitu muhimu jamani ambao hamjaoa angalieni wachumba wenye upeo ni muhimu sana.
ReplyDelete