jk akicahti na mh. abeid mwinyimusa baada ya sherehe za kuapishwa majuzi. mwinyimusa ameteuliwa kuziba nafasi ya athumani ukiwaona ditopile mzuzuri aliyejiuzuli wadhifa huo.

.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hasije naye akampiga mtu risasa huyo mmesha mpima akili?

    ReplyDelete
  2. Tabora ndio dampo lama Rc bomu miaka nenda ludi.

    ReplyDelete
  3. Kama namsikia Bwana Mwinyimusa hapo....Mzee mimi mambo ya kuua sipendi kabisa! we nitunzie tu kitumbua changu hautasikia nimeua mtu ng'o!

    ReplyDelete
  4. KIKWETE MBONA UNAZIDI KUJAZA MIISLAMU KWENYE POST NYINGI MUHIMU, TENA HILI LINAONEKANA KAMA NI YALE YALIO BOBEA.

    ReplyDelete
  5. This Dude Mwinyimusa looks like mzee small..when mzee small he was young...Ahahahahahahaha..LOL

    ReplyDelete
  6. Ndugu Heavyweight,
    You are damn right. This guy does look like Mzee Small.
    Nice one mate!

    ReplyDelete
  7. MMmmh huyo lazima ni wa Bagamoyo, huyo ndiye JK bwana kama mnatarajia maisha bora kwa kila mtanzania msahau! Ni UISLAMU kwa kwenda mbele.....Ningeweza kupata CV ya huyo mkuu wa mkoa, si ajabu kaishi la nane la mkoloni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...