jk akiingia neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni nyumbani Tanzania kwa sherehe ya Uhuru. Watanzania wa Ughaibuni nasi tunajiandaa kusherekea sherehe kama hiyo sehemu mbalimbali duniani tunakoishi sasa hivi.

    ReplyDelete
  2. Huku niliko ndo sasa naamka siku ya kusherekea miaka 45 ua uhuru wetu - uhuru ambao tuliupata nikiwa darasa la kumi hapo Bwiru Seko ya Wavulana, Mwanza!

    Kwa kusheherea siku hii, nina shairi kwa Watanzania na marafiki wa blog hii ambalo nitaliposit very, very soon!

    ReplyDelete
  3. Hii picha kabambe kweli! Gari la JK liko ndani ya goli, kana kwamba kafunga goli! Kwa wenye utaalamu wa kuchukua (kupiga picha), this is a fantastic angle and take! Michuzi, Bravo kwa kutupatia picha hii ya kihistoria!

    Sana, sana, nakuomba utundike uwanjani shairi langu lifuatalo katika kuadhimisha Siku ya Miaka 45 ya Uhuru, kwa wanablog wote nchini na ughaibhuni (pamoja na marafiki zao), kwani kwa wengine ughaibhuni ndo kunakucha ati!

    Soaring to New Heights!
    ©Born Again Pagan

    Oh, Tanzania,
    Once East Africa’s Cinderella,
    You have come a long way,
    Baby!

    Ukienda na wakati,
    To new heights proudly soar,
    Along three symbolic imagery loci:
    Providence-planted soaring mount
    Providence-reared soaring animal
    Artificially-made soaring vessel
    Our soaring metaphors!

    Soar to new heights,
    Like spectacular Mount Kilimanjaro
    On our soil Africa’s rooftop;
    Like inherited colonial heraldry
    Of Giraffe (Tanganyika)
    Over savannah thorny acacia trees;
    Like inherited colonial heraldry
    Of the majestic Dhow (Zanzibar)
    In the Ocean tranquil sailing!

    Our beloved Tanzania,
    Soar to evoke
    Tickling jingh’umbu (homesickness)
    Kwa aliye majuu to sing or hum:

    Tanzania, nakutamani
    Hata nikiwa nchi za mbali
    Furaha haiishi moyoni!
    Samaki wa kwetu wanono
    Si kama wa huku niliko!

    Tanzania I adore thee
    Though in faraway country
    In my heart
    The joy doesn't diminish;
    Our fishes are sweet
    Unlike of current residence!

    Our beloved Tanzania,
    Soar to instill sense of physical
    Or geographical belongingness
    Into him/her aliye majuu
    Aisogelee Tanzania patriotically
    And sing or hum:

    Tanzania, Tanzania,
    Nakupenda kwa moyo wote
    Nilalapo nakuota
    Jina lako ni tamu sana !

    Tanzania, Tanzania,
    Assiduously I love thee,
    I dream about you when asleep;
    Your so sweet a name douses me!


    Oh, beloved Tanzania,
    Once East Africa’s sleeping giant,
    Soar to new heights chidwedye
    For us to carnival romp in style),
    Like our jipala (gazelles)!

    Soar Tanzania
    To your deserving new heights;
    Chibhine (let's dance)
    Amid okukiririsya kwa abhagasi
    (Women ululation)!

    Soar Tanzania
    To awake resting ancestral spirits
    In Olduvai Gorge volcanism
    To dance;
    Dance immortal spirits
    For the spirits
    Of the schematic painters
    Of Kondoa-Irangi to dance, too!

    In one accord,
    Chibhine to Maji Maji heroes
    And to all the heroes
    Who perfected our Uhuru
    To make this day a possibility!

    Chibhine to Wasukuma brave song:
    Oo, sansi jabhila mitwe
    Reflecting common work ethics
    Of increased productivity:
    Oo, Watanzania,
    Tunajenga nchi!

    Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya,
    Empower our only beloved country
    To soar to new heights amid lessons
    From our sister states’ mistakes:

    Imbroglios of civil wars
    Leading to wanton killings,
    Tortures, rapes, banditry,
    Unbecoming lawlessness acts
    And habits
    Of embezzlement of donor funds
    Intended for preventive measures
    Against HIV/AIDS pandemic
    And menacing tropical diseases!

    Let’s have the courage
    To stand up all;
    Like rain-drenched chickens,
    Chikukumure (let’s shake off)
    Arresting poverty shackles!

    Vijana,
    Vifua mbele kama askari,
    Kazi kwenu sasa!

    Empower ari mpya
    To have rhythm
    For all to dance;
    Let it exhale performance aura!

    Empower nguvu mpya
    To illustrate compassion
    To wazee who sweated
    To make your today's horizon
    An envy to reckon with!

    Empower kasi mpya
    To pick up momentum
    With germinal capacity
    Towards uplifting wananchi all
    To benefit and enjoy the good life!

    Uplift wananchi all
    To raise the levels
    Of acquiring basic goods
    For the body:
    Food and drinks, sleep,
    Clothing and shelter.

    Wasomi wote,
    Uplift wananchi beyond basic needs,
    Beyond mere existence,
    Beyond animal kingdom!

    Let wananchi not only live,
    But, rather, live well
    In enjoyment and pleasure
    Through acquisition of goods
    For the mind:
    Information and knowledge,
    Understanding and wisdom!

    Our respective resolve
    Let us re-dedicate,
    And put all our hearts together
    In building our only one Tanzania
    Kwa kumuenzi Mwalimu’s
    Eve of Tanganyikan independence,
    Prophetic world declaration,
    Loudly and clearly:

    We (the people of Tanganyika)
    Shall light a torch and put it
    On the top of Mt. Kilimanjaro,
    To shine
    Beyond our borders
    Giving hope
    Where there was despair;
    Love
    Where there was hate;
    And dignity
    Where there was before humiliation.

    That prophetic declaration garbed
    Our leadership values and ethos
    Of Hekima, Umoja na Amani
    As societal shields
    On our Court of Arms inscribed
    In unwavering peace statement
    Of Uhuru na Umoja
    That Africa’s coveted envy!

    Tanzanians all
    Wake kwa waume na watoto
    Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
    Reminisce Mwalimu’s
    Later concerted efforts call
    Of building Tanzania:
    It Can Be Done; Play Your Part!

    That call pinched our hearts
    Telescoping arduous
    And daunting tasks ahead
    In our reforms, transition,
    Transformation and change.

    At this juncture,
    Amid thunderous thanksgivings
    Of 45-year Uhuru Anniversary,
    With short benediction
    It is fitting to end,
    Along the legendary tune
    Of one of African beloved children,
    Enoch Makanyi Sentonga,
    In his beloved South African soil
    His body now resting:

    Mungu Ibariki Afrika…
    Mungu Ibariki Tanzania…!

    Fantastic!

    ReplyDelete
  4. Hao FFU na Polisi naona wao pia wameshindwa kujizuia kumwangalia JK.... Baab Kubwa
    Aidha kiulinzi walipaswa kuangalia upande wa jukwaa walipokaa wananchi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...