niko na warembo k-lyn na faraja kota. leo usiku pale ubungo plaza kuna kitu inaitwa 'haya ndiyo maisha party' ambapo k-lyn na madiva kibao wa ist afrika mashariki watatumbuiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. meno yale michuzi,na kajoto hako mbona ulitoka hapo mikono mifukoni kama mto aliyeloa maji

    ReplyDelete
  2. beautiful tanzanian girl,that is what im talkin'bout,i miss tanzania but i will c u soon bongo.michuzi mwendo mdundo usiwasikilze watu wanaowanga kwenye blog hii tupe vitu.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, hongera..Naona umefunika na hao warembo..Tai nzuri, rangi inaendana na siku hizi za x-mas..
    Keep it up!

    ReplyDelete
  4. Mmependeza sana Michuzi,
    faraja Kota na K lyn wanazidi kupendeza tu.

    ReplyDelete
  5. Mmmmm!! utafikiri wamemwagiwa asali jamani duuu!! kweli watu wanapiga mizigo hiyo wanafaidi jamani,lakini madada zangu isije ikawa usafi wa njee tuu ndani kumeoza bwenyeee!!!

    ReplyDelete
  6. Hayo masichana mawili mabaya hayana sura ya Kiafrika! Yanaiga mno Wazungu! ndio maana hayashindi kwenye uzuri wa Kizungu!

    ReplyDelete
  7. HIVI KWANINI WATU HAMTAKI KUSEMA UKWELI, WATU KUINGIA NA KUSIFIA, NDIO WAMEPENDEZA LAKINI SI WAZURI KIASI HICHO, NA MIMI KAMA MWANAUME NINAYEPENDA JADI ZETU. SIPENDI WANAWAKE KAMA HAWA KUIGIZA MAMBO YA KIZUNGU ANGALIA HASWA MINYWELE HIYO FEKI, KWA NINI KINA DADA HAMWEZI KUJIACHA TU NATURAL? AAAAH! KICHEFU CHEFU, NA WENGI SIKUHIZI NI MKOROGO TU KUJICHUBUA ILI WAPATE RANGI NYEUPE. LAKINI UMEPOZI VIZURI MZEE MICHUZI HAPO KATIKATI, I LIKE YOUR TIE, ESPECIALY IN THIS FESTIVE SEASON. POA NDUGU YETU MAANA HUNA UBAGUZI UPO KWENYE DINI ZOTE, UNASHEREHEKEA IDDI MUBARAK NA CHRISTMAS PIA.

    ReplyDelete
  8. Mmependeza sana, asiyekubali hilo ana lake jambo. Mimi binafsi ninawakubali hawa dada zangu wawili pamoja na wengine wengi madada zangu wa ki-tanzania. Mjiamini wakati wote kwamba MNAWEZA na mtafanikiwa. Hizi baadhi comments nyingine za kwenye blogu hii hapo juu hutolewa na watu wasiojua ku-appreciate. Nawapenda sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...