tubarafu tunarudirudi kili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Actually mimi nimezaliwa chini ya huu mlima kabisa, tangia nikiwa mdogo najua kuna kipindi huu mlima huwa na barafu kidogo lakini kipindi cha baridi mwezi wa 7-9 unakuta umevaa barafu nyingi na ndio kipindi hata yule patner wake mawenzi naye anavaa barafu. Hivyo ile concept yakusema barafu inatoweka huenda inahitaji research na detailed reasons kunifanya niamini hivyo.

    ReplyDelete
  2. Bora... Ulaya hasa sehemu za kaskazini, wanashangaa kwa kutokuwepo kwa snow kipindi hiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...