hata sie tunazo ndinga kama hizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi hizi ndizo ndege zilizo tanda siku ya sherehe? Tuwekee picha za hizo ndege basi. mlio rekodi video za sherehe wekeni youtube tuzione na sisi tulio ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. Hizi ndege ni MIG-21 nadhani. lakini sio original za Urusi. Hizi nadhani tumenunua kutoka China.

    ReplyDelete
  3. Jamani! Hizi ndege za mwaka gani??!! Spea bado zinapatikana kweli???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...