gari ya mwisho!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi, Hili ni Karandinga la Mahabusu au ndio usafiri wenyewe?.Hawa wakija Dar es salaam hasa watapobahatika kusafiri na zile Daradala zinazotoka Mwenge kwenda Posta watajisikia wapo Paris.

    ReplyDelete
  2. Akina papaa Mayenu na 50% zote kumbe hamna kitu katika suala zima la usafiri.Kwa bongo labda ni kama usafiri wa Ngara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...