tutafika tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Duh!Kumbe Bongo ni Newyork. Na mamatizo yetu yote ya uchumi aina hii ya usafiri aijapata kutokea Tanzania Mijini nan vijijini.

    ReplyDelete
  2. Michuzi well sported ! angalia picha ya magari hayo mawili total reflection of the widenig gap between poor and the rich.Wish someone will do something bout it !

    ReplyDelete
  3. Ndio watafika tu lakini hili gari ni aina ya Combi Vokwageni,Hawa abiria hawaungui makalio?

    ReplyDelete
  4. Jamani masister du wa kibongo wataweza kupanda kama wakina dada hawa? ila lazima tukiri kwamba pamoja na matatizo ya daladala zetu hapa bongo lakini tumewazidi kwa mbali sana kwa ubora wa usafiri hawa wacongo

    ReplyDelete
  5. DUH JAMANI HII NI BALAA. KAZI YAO KUULAMBA VIZUURI LAKINI MAMBO MENGINE WAKO NYUMA SANA. HAYA NDIO MAMBO YA NCHI ILIYOJAA ALMASI NA DHAHABU! VIONGOZI WA AFRIKA WANA DHAMBI SANA!!!

    ReplyDelete
  6. jamani bongo msikae kulalamika.michuzi hizi picha ukipata nafasi zitoe hata kwenye gazeti ili watu wote hata wale wsio na internet access kwa sababu kwa hali hii bongo tunapeta sana, ki usafiri.

    ReplyDelete
  7. anony pale juu nakubaliana na wewe, lile gari jingine linasema mengi kama ukujua kusoma picha, vitu kama hivi ndio vinakufanya u appreciate zaidi kwetu, maana yake siku zote huwa tunajiona sisi tuna matatizo zaidi.

    ReplyDelete
  8. Kaka Michuzi, Hizi Picha zako za Kinshasa nimezikubali. Tunajua kuwa huwaunasafiri sana na misafara ya viongozi. Tafadhali sana usiishie kupiga picha za viongozi, ikulu au dhifa za kitaifa unapokuwa nje ya bongo. jaribu kupata picha za mandhari tofauti tofauti za miji na nchi unazotembelea. hizi za Kinshasa nadhani ni mwiba mchungu sana kwa wakongo. Huu usafiri Bongo tulisha achana nao siku nyingi sana, jamaa bado wanatumia KOMBI!!!!.... sipati picha ya makalio ya hao akina dada baada ya safari yao, nijuavyo mimi mjerumani yeye huweka injini nyuma. kwa maana hiyo hao akina dada wamekalia injini, kaazi kweli kweli.... Good work Michuzi, keep it up when you travel out of TZ...

    ReplyDelete
  9. Tusijilinganishe na nchi ambayo kila siku inapigana vita tukaridhika kuwa kwetu in NY. kumbuka hawa watu kwa miaka 40 hawakuwa na demokrasia, hata hivyo wanajitahidi kulingana na mambo yaliyowapata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...